Tetesi: Kuna taarifa za Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kufariki dunia

Tetesi: Kuna taarifa za Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kufariki dunia

kisulisuli

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
37
Reaction score
74
Wakuu salama
Kuna habari kuwa kule zanzibar kuna msiba mzito
Embu walioko huko watujuze kama hizi taarifa nizakweli
 
Si yule mzee wa Kiswahihi aliyekufa jana jamani
 
Mie siku KAYAFA mkuu wa nchi akiondoka kwa Corona!

Na ataondoka tu licha ya chanjo za wazungu alizochanjwa huku akinyima wengine chanjo ili wafe.Mungu siyo Athumani chanjo alizochanjwa hazitafua dafu.He is murder!
765430.jpg
 
Wakuu salama
Kuna habari kuwa kule zanzibar kuna msiba mzito
Embu walioko huko watujuze kama hizi taarifa nizakweli
Hebu ongezea mifupa kwenye nyama. Isije kuwa kitendo cha yeye kwenda kusalimia alimwagiwa sumu ili kuondolewa kwenye mfumo
 
Huyo mmoja tu ndio afe Zanzibar inuke? Hebu acha utani na uendelee kuchapa kazi!
 
Back
Top Bottom