kiumbempole
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 593
- 983
Maalim?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nyama kidogo Sky EclatTegeni masikio lakini habari si nzuri.
Unakimbilia wp!?🏃♂️🏃♂️🏃♂️
ila hii nchi drama mingi sana...juzi tuu paula,hatujakaa vzri,tegeni masikio.yaani ukilala nchale,ukisimama nchale...assalaam alykum TANZANIA...🙌😂😂😂
Corona ipo na inaua.Yani akiba chief mangungo hawaishi Tz..... Tunaendelea kufanywa wajinga. Wengine wanatembea na mafreezer...
Kabisa mkuu....Corona ipo na inaua.
Usiamini kauli za kipumbavu za wanasiasa. Ulinzi wa afya yako ni jukumu lako.
Naunga mkono hojaCorona ipo na inaua.
Usiamini kauli za kipumbavu za wanasiasa. Ulinzi wa afya yako ni jukumu lako.