Tetesi: Kuna taarifa za Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kufariki dunia

Tuweni watulivu.
Tutapewa taarifa rasmi baadaye.
Tusiwe na wasiwasi.
 
ila hii nchi drama mingi sana...juzi tuu paula,hatujakaa vzri,tegeni masikio.yaani ukilala nchale,ukisimama nchale...assalaam alykum TANZANIA...πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ukilala nchale,ukisimama nchale...
 
Yani akiba chief mangungo hawaishi Tz..... Tunaendelea kufanywa wajinga. Wengine wanatembea na mafreezer...
Corona ipo na inaua.

Usiamini kauli za kipumbavu za wanasiasa. Ulinzi wa afya yako ni jukumu lako.
 
Hivi kumbe zilianza kama tetesi ?Ka yale yajayo ya TOCHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…