Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache unafiki, kama mtu anastahili ulipwa mil. 45 mwache alipwe kwa ujuz na kaz anayoifany hili suala la kupiga pin kwa ajili ya wivu mm sisapot, km unaon wenzio wanafaid ndo nawew ujitahid .....Za chini ya Kapeti kutoka katika Taasisi moja ni kwamba kumbe ' Mukulu ' mwenyewe kwanza alitaka mishahara yao ipunguzwe kwakuwa ni mikubwa halafu hata tija yao si kubwa kivile ila watangulizi wake wakamshauri kuwa asifanye hivyo kwani ingeweza kumletea shida kidogo hata yeye kwa ' ustawi ' wake kama ambavyo ilishawahi kutaka kumtokea mtangulizi wake namba mbili ( katikati ya kwa Mwalimu na kwa Warioba ) na akakubali kwa yeye pia kuwapa sharti ( hiyo taasisi ) kuwa kuanzia sasa hakuna ' Watumishi ' wake kupandishwa Vyeo na kwamba ameagiza hata mishahara yao ya sasa ibaki kuwa hii hii kwa muda wa miaka mitano ( 5 ) ijayo ndipo atawafikiria.
Baada ya kulisikia hili binafsi nikafanya ' kajiuchunguzi ' kangu kadogo tu na kuweza kuona dalili za ' kutukuka ' kabisa ya hizo taarifa nilizopewa za chini ya kapeti kwani ni ukweli sasa kuwa hao Watu sasa hivi......
Nichukue tu fursa hii kumpongeza Mheshimiwa Mukulu kwa maamuzi yake haya kwani huku ' mitaani ' tulikuwa tunanyanyasika na ' kukanyagiwa ' mno Mademu kama siyo Wake zetu hali ambayo ilikuwa inatukera hadi sasa tukaanza kuwaza kuwa kwakuwa hatuwawezi kwa Ngumi basi ' tuwaroge ' tu kwa kuwatoa ' mishipa ' au kuwatupia ' majini ' ili tuheshimine vizuri.
- Hawatongozi tena hovyo.
- Hawalewi hovyo.
- Hawapigi wenzao hovyo kwa jeuri yao ya pesa.
- Nyuma walikuwa wakihonga Mipesa ila sasa wanahonga Vijihela tu vya ngama.
- Wana adabu zote kwa wanajamii wanaowazunguka.
- Wanatulia majumbani mwao sana na wanawaheshimu mno Wake zao kuliko zamani.
- Wamekuwa ' wabahili ' sana na wamegeuka kuwa wapangaji ' bajeti ' wazuri mno.
Akhsante Mukulu na hii ndiyo Tanzania ya usawa ambayo siku zote sisi tulikuwa tunaitaka. Heko!
Kazi kweliAnaficha labda ni bunge,ndugai si alimtandika mzee mmoja viboko.ha ha haaaa
Acheni kuwa wagumu kuelewa ww mtu ucyemuweza kwa ngumi ni nani km co hu ha tik taka harahara nyuma geuka kushoto kaa chn jibebeee wt wwwew
Akili zako bado hazijawa na akili vizuri na wewe ni masikini na utakufa hivyo hivyo na umasikini walioko juu bado wataendelea kuwa juu tu pamoja na hayo yote uliyosemaZa chini ya Kapeti kutoka katika Taasisi moja ni kwamba kumbe ' Mukulu ' mwenyewe kwanza alitaka mishahara yao ipunguzwe kwakuwa ni mikubwa halafu hata tija yao si kubwa kivile ila watangulizi wake wakamshauri kuwa asifanye hivyo kwani ingeweza kumletea shida kidogo hata yeye kwa ' ustawi ' wake kama ambavyo ilishawahi kutaka kumtokea mtangulizi wake namba mbili ( katikati ya kwa Mwalimu na kwa Warioba ) na akakubali kwa yeye pia kuwapa sharti ( hiyo taasisi ) kuwa kuanzia sasa hakuna ' Watumishi ' wake kupandishwa Vyeo na kwamba ameagiza hata mishahara yao ya sasa ibaki kuwa hii hii kwa muda wa miaka mitano ( 5 ) ijayo ndipo atawafikiria.
Baada ya kulisikia hili binafsi nikafanya ' kajiuchunguzi ' kangu kadogo tu na kuweza kuona dalili za ' kutukuka ' kabisa ya hizo taarifa nilizopewa za chini ya kapeti kwani ni ukweli sasa kuwa hao Watu sasa hivi......
Nichukue tu fursa hii kumpongeza Mheshimiwa Mukulu kwa maamuzi yake haya kwani huku ' mitaani ' tulikuwa tunanyanyasika na ' kukanyagiwa ' mno Mademu kama siyo Wake zetu hali ambayo ilikuwa inatukera hadi sasa tukaanza kuwaza kuwa kwakuwa hatuwawezi kwa Ngumi basi ' tuwaroge ' tu kwa kuwatoa ' mishipa ' au kuwatupia ' majini ' ili tuheshimine vizuri.
- Hawatongozi tena hovyo.
- Hawalewi hovyo.
- Hawapigi wenzao hovyo kwa jeuri yao ya pesa.
- Nyuma walikuwa wakihonga Mipesa ila sasa wanahonga Vijihela tu vya ngama.
- Wana adabu zote kwa wanajamii wanaowazunguka.
- Wanatulia majumbani mwao sana na wanawaheshimu mno Wake zao kuliko zamani.
- Wamekuwa ' wabahili ' sana na wamegeuka kuwa wapangaji ' bajeti ' wazuri mno.
Akhsante Mukulu na hii ndiyo Tanzania ya usawa ambayo siku zote sisi tulikuwa tunaitaka. Heko!
Mkuu! Ndo kusema umeamua kutusema au siyo! Dawa yako siku nikikutana na wewe nakupasuaZa chini ya Kapeti kutoka katika Taasisi moja ni kwamba kumbe ' Mukulu ' mwenyewe kwanza alitaka mishahara yao ipunguzwe kwakuwa ni mikubwa halafu hata tija yao si kubwa kivile ila watangulizi wake wakamshauri kuwa asifanye hivyo kwani ingeweza kumletea shida kidogo hata yeye kwa ' ustawi ' wake kama ambavyo ilishawahi kutaka kumtokea mtangulizi wake namba mbili ( katikati ya kwa Mwalimu na kwa Warioba ) na akakubali kwa yeye pia kuwapa sharti ( hiyo taasisi ) kuwa kuanzia sasa hakuna ' Watumishi ' wake kupandishwa Vyeo na kwamba ameagiza hata mishahara yao ya sasa ibaki kuwa hii hii kwa muda wa miaka mitano ( 5 ) ijayo ndipo atawafikiria.
Baada ya kulisikia hili binafsi nikafanya ' kajiuchunguzi ' kangu kadogo tu na kuweza kuona dalili za ' kutukuka ' kabisa ya hizo taarifa nilizopewa za chini ya kapeti kwani ni ukweli sasa kuwa hao Watu sasa hivi......
Nichukue tu fursa hii kumpongeza Mheshimiwa Mukulu kwa maamuzi yake haya kwani huku ' mitaani ' tulikuwa tunanyanyasika na ' kukanyagiwa ' mno Mademu kama siyo Wake zetu hali ambayo ilikuwa inatukera hadi sasa tukaanza kuwaza kuwa kwakuwa hatuwawezi kwa Ngumi basi ' tuwaroge ' tu kwa kuwatoa ' mishipa ' au kuwatupia ' majini ' ili tuheshimine vizuri.
- Hawatongozi tena hovyo.
- Hawalewi hovyo.
- Hawapigi wenzao hovyo kwa jeuri yao ya pesa.
- Nyuma walikuwa wakihonga Mipesa ila sasa wanahonga Vijihela tu vya ngama.
- Wana adabu zote kwa wanajamii wanaowazunguka.
- Wanatulia majumbani mwao sana na wanawaheshimu mno Wake zao kuliko zamani.
- Wamekuwa ' wabahili ' sana na wamegeuka kuwa wapangaji ' bajeti ' wazuri mno.
Akhsante Mukulu na hii ndiyo Tanzania ya usawa ambayo siku zote sisi tulikuwa tunaitaka. Heko!
Mkuu! Ndo kusema umeamua kutusema au siyo! Dawa yako siku nikikutana na wewe nakupasua
Hii taasisi ipo apaZa chini ya Kapeti kutoka katika Taasisi moja ni kwamba kumbe ' Mukulu ' mwenyewe kwanza alitaka mishahara yao ipunguzwe kwakuwa ni mikubwa halafu hata tija yao si kubwa kivile ila watangulizi wake wakamshauri kuwa asifanye hivyo kwani ingeweza kumletea shida kidogo hata yeye kwa ' ustawi ' wake kama ambavyo ilishawahi kutaka kumtokea mtangulizi wake namba mbili ( katikati ya kwa Mwalimu na kwa Warioba ) na akakubali kwa yeye pia kuwapa sharti ( hiyo taasisi ) kuwa kuanzia sasa hakuna ' Watumishi ' wake kupandishwa Vyeo na kwamba ameagiza hata mishahara yao ya sasa ibaki kuwa hii hii kwa muda wa miaka mitano ( 5 ) ijayo ndipo atawafikiria.
Baada ya kulisikia hili binafsi nikafanya ' kajiuchunguzi ' kangu kadogo tu na kuweza kuona dalili za ' kutukuka ' kabisa ya hizo taarifa nilizopewa za chini ya kapeti kwani ni ukweli sasa kuwa hao Watu sasa hivi......
Nichukue tu fursa hii kumpongeza Mheshimiwa Mukulu kwa maamuzi yake haya kwani huku ' mitaani ' tulikuwa tunanyanyasika na ' kukanyagiwa ' mno Mademu kama siyo Wake zetu hali ambayo ilikuwa inatukera hadi sasa tukaanza kuwaza kuwa kwakuwa hatuwawezi kwa Ngumi basi ' tuwaroge ' tu kwa kuwatoa ' mishipa ' au kuwatupia ' majini ' ili tuheshimine vizuri.
- Hawatongozi tena hovyo.
- Hawalewi hovyo.
- Hawapigi wenzao hovyo kwa jeuri yao ya pesa.
- Nyuma walikuwa wakihonga Mipesa ila sasa wanahonga Vijihela tu vya ngama.
- Wana adabu zote kwa wanajamii wanaowazunguka.
- Wanatulia majumbani mwao sana na wanawaheshimu mno Wake zao kuliko zamani.
- Wamekuwa ' wabahili ' sana na wamegeuka kuwa wapangaji ' bajeti ' wazuri mno.
Akhsante Mukulu na hii ndiyo Tanzania ya usawa ambayo siku zote sisi tulikuwa tunaitaka. Heko!
Mkuu! Zamani tulikua tunapata mbunye za bure kabisa kutoka kqa watoto wa Ngaza secondary!
Leo hii mbunye zina nywira, yakupasa kuilipia ndo ufaidi!
Maisha jamani,yaan leo na mimi naitwa Baba,mwenye familia mke na watoto,wakati maisha yetu ya chuo yalikua full shida,pass ndefu aka Lampard, tumekula sana machungwa na macheza ya hostel, wengine walikua wanachuma ndoo tano hadi kumi wanaweka stock!
Dmfk[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hakika ni msiba na masikitiko,ni kusomeshana namba tu.
Mbaya zaidi na aliyepewa jukumu la kuwasimamia,sjui ni msabato huyu dah.mnoko haijawahi tokea.