Tetesi: Kuna taasisi moja nasikia Mukulu kaamua hakuna kupandishana vyeo na mishahara ubaki huo huo

Duuu...kwahiyo mkulu wa kaya kaamua kuwapiga "speed governor " baada ya kuwaona hao jamaa kasi yao ni zaid ya kasi ya bombardier na basi za mwendokasi.

Ila angalizo langu, usimchokoe sana pweza....
 
Haueleweki hata umeandika nini zaidi ya kuficha ficha sasa sijui umeandika ukiwa bar
 
Tuache unafiki, kama mtu anastahili ulipwa mil. 45 mwache alipwe kwa ujuz na kaz anayoifany hili suala la kupiga pin kwa ajili ya wivu mm sisapot, km unaon wenzio wanafaid ndo nawew ujitahid .....
 
We furahia tu ila mi simo,,, wakianza kupiga bao la mkono kupata vyao uje utukumbushe,,,,, kila mbabe ana mbabe wake jmn.........
 
Acheni kuwa wagumu kuelewa ww mtu ucyemuweza kwa ngumi ni nani km co hu ha tik taka harahara nyuma geuka kushoto kaa chn jibebeee wt wwwew



Ha ha ha a a
 
Akili zako bado hazijawa na akili vizuri na wewe ni masikini na utakufa hivyo hivyo na umasikini walioko juu bado wataendelea kuwa juu tu pamoja na hayo yote uliyosema
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hakika ni msiba na masikitiko,ni kusomeshana namba tu.

Mbaya zaidi na aliyepewa jukumu la kuwasimamia,sjui ni msabato huyu dah.mnoko haijawahi tokea.
 
Maskini cku zote hapendi mwenzie apate utabaki na majungu wenzio wanafanya yao
 
Mkuu! Ndo kusema umeamua kutusema au siyo! Dawa yako siku nikikutana na wewe nakupasua
 
Mkuu! Ndo kusema umeamua kutusema au siyo! Dawa yako siku nikikutana na wewe nakupasua

Ha ha ha ha ha ha ha ha....Mkuu. Sema tukikutana ' tutapasuana ' kama tulivyompasua kwa pamoja ' Baby ' Rose pale katika ile ' miti ' ya Nsumba Secondary karibu kabisa na Hostel yetu pendwa ya Darfur.
 
Hii taasisi ipo apa
a e i o U
la le LI lo lu
nza nze NZI nzo nzu ...ndo maana kuitaja mkuu umeshikwa ma kigugumizi ,,, sema sasa niupande gani ???

Nitarudi.
 
Mkuu! Zamani tulikua tunapata mbunye za bure kabisa kutoka kqa watoto wa Ngaza secondary!

Leo hii mbunye zina nywira, yakupasa kuilipia ndo ufaidi!

Maisha jamani,yaan leo na mimi naitwa Baba,mwenye familia mke na watoto,wakati maisha yetu ya chuo yalikua full shida,pass ndefu aka Lampard, tumekula sana machungwa na macheza ya hostel, wengine walikua wanachuma ndoo tano hadi kumi wanaweka stock!
 

Ha ha ha ha ha ha ha.....uko sahihi kwa 100% ' Kamarada '.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hakika ni msiba na masikitiko,ni kusomeshana namba tu.

Mbaya zaidi na aliyepewa jukumu la kuwasimamia,sjui ni msabato huyu dah.mnoko haijawahi tokea.
Dmfk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…