Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
👆Pigia mstari👆Anakutaka… jiongeze
Hama mtaa, kama kweli kuna tetesi hizo unajiweka hatarini kwa mumeweMh, mke wa mtu atanitakaje?!!! Mi ni mteja wake tu wa samaki.
Punguza maneno☺️Mtoto anautaka.....
Dude wewe ni mgeni mjini? Hiyo status ya mke wa mtu si sababu, majimama mishangazi inawataka watu sana mjini. Ni wewe uamue ukubali au lahMh, mke wa mtu atanitakaje?!!! Mi ni mteja wake tu wa samaki.