Kuna tafsiri yoyote ya kikubwa pale mwanamke anapokuambia kuwa kuna watu wanasema unatembea nae?

Kuna tafsiri yoyote ya kikubwa pale mwanamke anapokuambia kuwa kuna watu wanasema unatembea nae?

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
997
Reaction score
1,220
Imetokea jana.

Dada ananiambia kuna hutuma dhidi yetu hapa mtaani. Anasema ameshutumiwa muda mrefu sana lakini aliamua kupotezea tu ila alipanga kuna siku atapata sababu ya kusema na siku yenyewe aliyoipata ni hiyo jana. Najibu nini' kwenye jambo kama hili?

Msaada tafadhali.
 
Mbona mimi wapo wengi tu, Na nikitaka kuwa hakikishia natembea nae kupitia njia ya hao hao wanaosema.... Kwani kuna ubaya gani kuongozana na Mwanamke? 😇😇😇
 
Back
Top Bottom