PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 429
- 925
Ni ishara tosha kwamba hapo moshi hamna akili za kutosha. 🙂🙂Tuweni makini jamani, kunatapeli kwa sasa yupo Moshi anatapeli watu na dola feki,
Ni mzee wa makamo mnene mweupe, anajifanya ana lafudhi ya kiislamu, yupo na kijana wake wanakuja na alphard dukani kwako wananunua bidhaa, kisha anakulipa na dola, then utamrdishia chenji kwa pesa ya kibongo...ndo unakuwa ushatapeliwa hivyo..ukienda benk unaambiwa hilo ni karatasi...tuweni makini
Wewe kwanini ukubali kulipwa kwa dola? Hata kama zisingekuwa feki huoni ni kujipa risk isiyo ya lazima kwa jinsi dola inavyoshuka na kupanda kila dakika? Msipoacha tamaa mtaendelea kupigwa tu.Tuweni makini jamani, kunatapeli kwa sasa yupo Moshi anatapeli watu na dola feki,
Ni mzee wa makamo mnene mweupe, anajifanya ana lafudhi ya kiislamu, yupo na kijana wake wanakuja na alphard dukani kwako wananunua bidhaa, kisha anakulipa na dola, then utamrdishia chenji kwa pesa ya kibongo...ndo unakuwa ushatapeliwa hivyo..ukienda benk unaambiwa hilo ni karatasi...tuweni makini
Akili wanazo ila tamaa zimewazidi.Ni ishara tosha kwamba hapo moshi hamna akili za kutosha. 🙂🙂
Kwamba wanazani wakilipwa kwa dollar, watatajirika haraka 😀😀Akili wanazo ila tamaa zimewazidi.
Cc TanganianTuweni makini jamani, kunatapeli kwa sasa yupo Moshi anatapeli watu na dola feki,
Ni mzee wa makamo mnene mweupe, anajifanya ana lafudhi ya kiislamu, yupo na kijana wake wanakuja na alphard dukani kwako wananunua bidhaa, kisha anakulipa na dola, then utamrdishia chenji kwa pesa ya kibongo...ndo unakuwa ushatapeliwa hivyo..ukienda benk unaambiwa hilo ni karatasi...tuweni makini
Nani asiyependa utajiri?Kwamba wanazani wakilipwa kwa dollar, watatajirika haraka 😀😀
Utajiri hauji kizembe hivyo. Labda kama unazungumzia hela ndogo ndogo za kula.Nani asiyependa utajiri?
Na Kweli kina MANGI NA MANKA Wamepatikana AISEEEKupatwa kwa wachagga
Lafudhi ya kiislamu ndo ikoje?Tuweni makini jamani, kunatapeli kwa sasa yupo Moshi anatapeli watu na dola feki,