FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Mi mtu akija na dollar, nampa boda aende bureau de change, kisha nakata pesa yangu, ndio achukue chenji yake
Kweli kabisaAina ya utapeli huakisi pia aina ya ujinga na udhaifu wa mahali fulani.
Kwa uzoefu wako matajiri kumbe wanakusanya mapesa mangapi kwa wakati mmoja?Utajiri hauji kizembe hivyo. Labda kama unazungumzia hela ndogo ndogo za kula.
Ukiangalia mada inavyosema, bila shaka utaona kabisa huwezi kutajirika kwa style hiyo.Kwa uzoefu wako matajiri kumbe wanakusanya mapesa mangapi kwa wakati mmoja?
Sasa si ukaripoti polisi hapa unafanya nini!?Tuweni makini jamani, kunatapeli kwa sasa yupo Moshi anatapeli watu na dola feki,
Ni mzee wa makamo mnene mweupe, anajifanya ana lafudhi ya kiislamu, yupo na kijana wake wanakuja na alphard dukani kwako wananunua bidhaa, kisha anakulipa na dola, then utamrdishia chenji kwa pesa ya kibongo...ndo unakuwa ushatapeliwa hivyo..ukienda benk unaambiwa hilo ni karatasi...tuweni makini