kuna tapeli yupo Moshi linatapeli watu na dola feki

Mi mtu akija na dollar, nampa boda aende bureau de change, kisha nakata pesa yangu, ndio achukue chenji yake
 
Kaskazini hatokagi fala,acha wajinga wapigwe
 
Kwa uzoefu wako matajiri kumbe wanakusanya mapesa mangapi kwa wakati mmoja?
Ukiangalia mada inavyosema, bila shaka utaona kabisa huwezi kutajirika kwa style hiyo.

Utajiri ni hatua ya heshima na zinahitajika process za siri either kwa njia ya jasho au kwa njia ya damu
 
Sasa si ukaripoti polisi hapa unafanya nini!?
Au mmedhulumiana umeamua umchome mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…