Kuna tatizo gani magari kuungua moto kila kukicha?

Kuna tatizo gani magari kuungua moto kila kukicha?

Ni baby dualis aka inflammable?

Au wanachi wana dilute na kakitu kapya
 
Kwa sasa nimeona kunaongezeko la magari madogo kuungua moto kila siku.

Ndani ya wiki hii nimekutana na magari ya siyo pungua 7 yame ungua moto.

Watalaamu shida nini kwenye haya magari ya sasa?

Mkuu ni yale mambo ya kubadili systems kuwa tofauti na zilivyowekwa na mtengenazaji. Usisahau mtengenazaji anayo jeuri ya kutoa warranty kwa bidhaa yake iliyoko kwenye ubora wake.

Angalia wiring systems mara ziwekwe TV, ving'amuzi, booster, radio zingine, alarms na yote hayo. Kumbuka mengine hapo ni shuruti za serikali!

Bado kuna bidhaa na spare fake zilizojaa madukani huko na hasa vimiminika na zile zinazobadilishwa mara kwa mara. Rejea elimu za mafundi, nk.

"Nisiache kusema, ukimwondoa kiumbe CCM kwenye angalau 70% ya hiyo kadhia utakuwa hujajitendea haki!"
 
Back
Top Bottom