Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Unawajaribu bima 😁Tumeyachoka mkuu, tunayapiga moto tununue mengine.
Kwa sasa nimeona kunaongezeko la magari madogo kuungua moto kila siku.
Ndani ya wiki hii nimekutana na magari ya siyo pungua 7 yame ungua moto.
Watalaamu shida nini kwenye haya magari ya sasa?
Magari ya kisasa umeme mwingi watumiaji hawana ujuziKwa sasa nimeona kunaongezeko la magari madogo kuungua moto kila siku.
Ndani ya wiki hii nimekutana na magari ya siyo pungua 7 yame ungua moto.
Watalaamu shida nini kwenye haya magari ya sasa?