Kuna tatizo gani mwauwasa

Kuna tatizo gani mwauwasa

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Ninaandika taarifa hii kwa masikitiko makubwa kuhusu MAUWASA. Sasa yapata wiki mbili Mtaa wa Mwananchi, Kata ya Mahina, hapa Mwanza hatuna maji hata tone. Hakuna tatizo la umeme wa kusukuma maji na maji yako mengi Ziwa Victoria.

Mhe. Waziri Aweso ingilia kati tatizo hili vinginevyo tunaona kama vile Serikali haitujali. CCM isije ikapoteza Mtaa huu kwa wapinzani.
 
Ninaandika taarifa hii kwa masikitiko makubwa kuhusu MAUWASA. Sasa yapata wiki mbili Mtaa wa Mwananchi, Kata ya Mahina, hapa Mwanza hatuna maji hata tone. Hakuna tatizo la umeme wa kusukuma maji na maji yako mengi Ziwa Victoria. Mhe. Waziri Aweso ingilia kati tatizo hili vinginevyo tunaona kama vile Serikali haitujali. CCM isije ikapoteza Mtaa huu kwa wapinzani.
Nenda ziwani na ndoo chota maji peleka nyumbani

Mkoa umezungukwa na Ziwa kubwa Duniani mnalia hamna maji

ina maana sisi huku Singida tutalimia meno 😀😀
 
Ninaandika taarifa hii kwa masikitiko makubwa kuhusu MAUWASA. Sasa yapata wiki mbili Mtaa wa Mwananchi, Kata ya Mahina, hapa Mwanza hatuna maji hata tone. Hakuna tatizo la umeme wa kusukuma maji na maji yako mengi Ziwa Victoria. Mhe. Waziri Aweso ingilia kati tatizo hili vinginevyo tunaona kama vile Serikali haitujali. CCM isije ikapoteza Mtaa huu kwa wapinzani.
Si mnajengewa daraja pale? Mabomba yamekatwa pale kupisha ujenzi wa daraja! Lkn hapo ustawi si kuna mto unatirisha maji full mwaka mzima? Shida yenu nyie wangosha na ng'wanike kula kula ovyo na kunya kunya ovyo pia mnakunya mton maji hayaaminiki! Ccm mbele kwa mbelee
 
Hawa wapumbavu , niliwapigia simu juzi wakasema kuna pump Igombe imeharibika
Ni siku nyingi sasa Buswelu ,Ilemela hamna maji
 
Mwanza wanashida ya maji...hapa nilipo naambiwa yanatoka alhamisi na jpili tu...
Sasa unajiuliza, lile ghorofa kubwa la billions walijenga la nini ikiwa hawana pump za kutosha?
 
Si mnajengewa daraja pale? Mabomba yamekatwa pale kupisha ujenzi wa daraja! Lkn hapo ustawi si kuna mto unatirisha maji full mwaka mzima? Shida yenu nyie wangosha na ng'wanike kula kula ovyo na kunya kunya ovyo pia mnakunya mton maji hayaaminiki! Ccm mbele kwa mbelee
🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️ aisee kama wakunya mton hata katba mpya aitawasaidia sjui hayo majtu ya kisukuma vp
 
Back
Top Bottom