Nenda ziwani na ndoo chota maji peleka nyumbaniNinaandika taarifa hii kwa masikitiko makubwa kuhusu MAUWASA. Sasa yapata wiki mbili Mtaa wa Mwananchi, Kata ya Mahina, hapa Mwanza hatuna maji hata tone. Hakuna tatizo la umeme wa kusukuma maji na maji yako mengi Ziwa Victoria. Mhe. Waziri Aweso ingilia kati tatizo hili vinginevyo tunaona kama vile Serikali haitujali. CCM isije ikapoteza Mtaa huu kwa wapinzani.
Si mnajengewa daraja pale? Mabomba yamekatwa pale kupisha ujenzi wa daraja! Lkn hapo ustawi si kuna mto unatirisha maji full mwaka mzima? Shida yenu nyie wangosha na ng'wanike kula kula ovyo na kunya kunya ovyo pia mnakunya mton maji hayaaminiki! Ccm mbele kwa mbeleeNinaandika taarifa hii kwa masikitiko makubwa kuhusu MAUWASA. Sasa yapata wiki mbili Mtaa wa Mwananchi, Kata ya Mahina, hapa Mwanza hatuna maji hata tone. Hakuna tatizo la umeme wa kusukuma maji na maji yako mengi Ziwa Victoria. Mhe. Waziri Aweso ingilia kati tatizo hili vinginevyo tunaona kama vile Serikali haitujali. CCM isije ikapoteza Mtaa huu kwa wapinzani.
Hawa wapumbavu , niliwapigia simu juzi wakasema kuna pump Igombe imeharibikaNinaandika taarifa hii kwa masikitiko makubwa kuhusu MAUWASA. Sasa yapata wiki mbili Mtaa wa Mwananchi, Kata ya Mahina, hapa Mwanza hatuna maji hata tone. Hakuna tatizo la umeme wa kusukuma maji na maji yako mengi Ziwa Victoria. Mhe. Waziri Aweso ingilia kati tatizo hili vinginevyo tunaona kama vile Serikali haitujali. CCM isije ikapoteza Mtaa huu kwa wapinzani.
ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ aisee kama wakunya mton hata katba mpya aitawasaidia sjui hayo majtu ya kisukuma vpSi mnajengewa daraja pale? Mabomba yamekatwa pale kupisha ujenzi wa daraja! Lkn hapo ustawi si kuna mto unatirisha maji full mwaka mzima? Shida yenu nyie wangosha na ng'wanike kula kula ovyo na kunya kunya ovyo pia mnakunya mton maji hayaaminiki! Ccm mbele kwa mbelee