Kuna tatizo gani na MWAUWASA?

Kuna tatizo gani na MWAUWASA?

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Nashindwa kuwaelewa Mamlaka ya Maji Mjini Mwanza kwa eneo la Mwananchi kukosa maji sasa wiki nzima ilihali tuna Ziwa Victoria umbali wa kilomita moja.

Hivi MWAUWASA mna matatizo gani? Tunaiomba Serikali ichukue hatua kwa Mamlaka hii. Tumechoka, tumechoka.
 
Kachote ziwani mkuu nchi hii ina mambo mengi ya kufanya....uwanja wa taifa Generator limeishiwa mafuta (mafuta yalipigwa)
 
Sio mwananchi tu mkolan buhongwa maji hakunaa
 
Kama ni ya mgao lazima baadhi ya siku yakosekane. Au yamekata muda mrefu?
 
Back
Top Bottom