Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shida kamilisha Taratibu....NIDA wanajitaidi sana wanafanya kazi usiku na MchanaNaomba mniulizie kwa mtendaji mkuu wa NIDA Kibaha mkoa wa Pwani.
Kwanini inachukua zaidi ya mwezi kupata namba (sio kitambulisho) katika ofisi ya Kibaha?
Tunaomba mkuu wa mkoa aingilie kati.
Nilifika kuchukua kitambulisho changu mtumishi akanikabidhi box la vitambulisho nitafute mwenyewe kisha akasepa!Naomba mniulizie kwa mtendaji mkuu wa NIDA Kibaha mkoa wa Pwani.
Kwanini inachukua zaidi ya mwezi kupata namba (sio kitambulisho) katika ofisi ya Kibaha?
Tunaomba mkuu wa mkoa aingilie kati.