Kuna tatizo Gani Rais Museveni kumpandisha Vyeo Kijeshi Mwanae Muhoozi kama ana Uwezo na kakidhi Vigezo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mbona hamkushangaa Rafiki yenu aliyewajengea Msikiti na Misikiti Hayati Ghaddafi alipompandisha Vyeo Mwanae?

Mbona hamkushangaa Hayati Rais Laurent Kabila alivyompandisha Vyeo Mwanae Joseph Kabila?

Kwanini kila mara Rais Museveni akimpandisha Vyeo vya Kijeshi Mwanae Muhoozi mnawashwawashwa?

Acheni Wivu na Uswahili huyo Mtoto ameiva Kijeshi na anastahili kuwa hapo alipo Kijeshi na ni Shujaa pia wa East Africa.

Wanafiki wakubwa nyie.
 
Ahaa haaaah mtaani wangu bhana. Wewe ni mwendo wa lipua lipua. Keinerugaba kwenye military credentials tuko vizuri by the way naye ni mtaani wako.
 
Mkuu , hivi yale majigambo yake pale mjini twita bwana Muhoozi huyaoni kama yakileta taharuki pale na li page lao la team unstoppeable
 
Back
Top Bottom