Kuna tatizo kubwa la kiutawala wilaya ya masasi

Kuna tatizo kubwa la kiutawala wilaya ya masasi

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Imepita miaka mingi wilaya ya masasi imegubikwa na mambo ya hovyo hovyo na hayaondoki kila siku hujirudia na utadhani hakuna viongozi wanaopaswa kutatua kero hizo
1. Umeme, sidhani kama kuna wilaya ambayo inaongoza kwa kukatakata umeme kama masasi
2. Barabara zilizobomolewa kuacha bila matengenezo kwa mda mrefu
3. Wakulima kutolipwa pesa zao za mazao na
4. Huduma mbovu za afya kitu kodogo wameshakupiga transfer hospitali ya ndana ndanda

Sio mkuu wa wilaya sio mbunge wote wanaishi vyeo ambavyo hawavitendei haki
Viongozi wa masasi wanachafua Serikali na wnamchafua mh raisi kwa uvivu na uzembe
Na kuna wasi wasi mkubwa kua ni hujma zinazotengenezwa kwa makusudi
 
Back
Top Bottom