Wanahamasisha watu wajiandikishe katika daftari la mpiga kura.
Wanahamasisha watu wapige kura.
Lakini hawa hamasishi uhuru wakati wa kupiga kura na kulinda kura.
Hawahamasishi uwepo wa tume huru ya uchaguzi.
Hawahamasishi uhuru wa vyombo vya Habari na usawa katika kutoa taarifa.
Hawa hamasishi kukoma kwa matumizi ya rushwa kipindi cha uchaguzi