MINESOPOTAMIA
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 166
- 1,006
Kwenye premier bet hii inaitwa (1X AND NG).. This code means that the home team will win the game but the guest team will lose or draw..Daah unaanza mechi mwenzako ana goli moja tayari. Pambana ushinde mechi wazee wa kubet hii inaitwaje kitaalamu
Uncle Shamte nae anakula mafao ya Diamond platnumzJeffrey Bezos amelelewa na baba wa kambo mwisho wa siku baada ya kuwa tajiri, baba wa kambo ndo anakula mafao ya Amazon na baba yake halisi hana mpango nae. Jaribu bahati yako mzee huwezi jua mtoto atakuja kuwa nani baadae.. Pengine ndo huyo huyo atakaekuja kukuthamini.
Handicap ya goli moja kwa mwanamke[emoji56][emoji56][emoji56]Daah unaanza mechi mwenzako ana goli moja tayari. Pambana ushinde mechi wazee wa kubet hii inaitwaje kitaalamu
Huyo ni MKE wa mtu wewe unaenda kuendeleza uzinzi Tu na kwakujua kabisaHallo ndugu zangu
Kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo naomba ushauri kutoka kwenu
Hivi kuna madhara gani ya kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Sasa ni hivi kuna dada mmoja wa Kigoma ambaye tulipendana naye na tulivyo pendana akunificha aliniambia yeye ana mtoto
Nikamuliza situation ilikuwaje mpaka Akapata mtoto na kwanini baba mtoto hakumuoa?
Akaniambia kuwa uyo jamaa alimdanganya lakini alivyo mpa mimba yule jamaa alikimbia mimba ile na tena jamaa hakuwa mtanzania alikuwa mrundi na uko burundi ana mke na watoto Wa tatu
Sasa ki ukweli sikuamini maneno yake nilichunguza kwa majirani zake kuuliza walicho ni ambia ni ivo ivo tu
Sasa nikaona isiwe case nilienda kumtambulisha nyumbani kwetu cha ajabu wazazi wangu walivyo sikia kuwa ana mtoto kiukweli wamekataa kweli kweli nimejaribu kuwapa hali halisi ya ilivyo kuwa mpaka akapata mtoto uyo wamekula chini kweli
kibaya zaidi nimesha mpa mimba na kwao nina famika vizuri
Sasa familia wamenitenga kabisa yaani hawataki kusikia abari za uyo dada nimejaribu kuwaomba wao kama wazazi wangu basi wahende kujitambulisha kwao na mtoto na kuacha na weka Mali hawataki
Na mimi dada uyo na mpenda saana
Je ni kitumia wazee wengine ambao si Wa familia yangu kwenda kuniwekea Mali nitakuwa nime kosa?
Na ni madhara gani ambayo yanaweza kutokea pale familia wakikutenga?
Na nini ni fanye ili kumaliza tatizo hili ndugu zangu
Au ni sikie ushauri Wa wazazi na mimi ni achana naye?
Ukishindwa kuwajibika kwa mtoto wake anakutana na mzazi mwenzake na kupanga kuhusu mtoto wao na mengineyo.Hallo ndugu zangu

Hakuna shidaaa Ila mie kama muhanga wa Hilo nakuomba tafadhali saana hakikisha anakuonesha kaburi la baba wa watoto wake au mtotoHallo ndugu zangu
Kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo naomba ushauri kutoka kwenu
Hivi kuna madhara gani ya kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Sasa ni hivi kuna dada mmoja wa Kigoma ambaye tulipendana naye na tulivyo pendana akunificha aliniambia yeye ana mtoto
Nikamuliza situation ilikuwaje mpaka Akapata mtoto na kwanini baba mtoto hakumuoa?
Akaniambia kuwa uyo jamaa alimdanganya lakini alivyo mpa mimba yule jamaa alikimbia mimba ile na tena jamaa hakuwa mtanzania alikuwa mrundi na uko burundi ana mke na watoto Wa tatu
Sasa ki ukweli sikuamini maneno yake nilichunguza kwa majirani zake kuuliza walicho ni ambia ni ivo ivo tu
Sasa nikaona isiwe case nilienda kumtambulisha nyumbani kwetu cha ajabu wazazi wangu walivyo sikia kuwa ana mtoto kiukweli wamekataa kweli kweli nimejaribu kuwapa hali halisi ya ilivyo kuwa mpaka akapata mtoto uyo wamekula chini kweli
kibaya zaidi nimesha mpa mimba na kwao nina famika vizuri
Sasa familia wamenitenga kabisa yaani hawataki kusikia abari za uyo dada nimejaribu kuwaomba wao kama wazazi wangu basi wahende kujitambulisha kwao na mtoto na kuacha na weka Mali hawataki
Na mimi dada uyo na mpenda saana
Je ni kitumia wazee wengine ambao si Wa familia yangu kwenda kuniwekea Mali nitakuwa nime kosa?
Na ni madhara gani ambayo yanaweza kutokea pale familia wakikutenga?
Na nini ni fanye ili kumaliza tatizo hili ndugu zangu
Au ni sikie ushauri Wa wazazi na mimi ni achana naye?
mwanamke anatumia akil yake tu kuishi kwenye ndoa wapo walioolewa hawana watoto lakin mtu anagongewa mpaka basiAbadilike ukiwa ulimkuta akiwa hana mtoto
Mimi nawashangaa wabongo sana. Kama hujabakwa kubeba mimba ni kupenda. Labda ziwe mimba za utotoni. Changes zinatakiwa kwa mtoto wa kike otherwise single mothers wataendelea kuwepo. Tuwafundishe hata uwe na shida vipi usikubali kurubuniwa kama hauko tayari kubeba mimba maana madhara utayaona baadaeWanaume wakiacha tabia ya kuwapa Wanawake Mimba na kuwakimbia hakutakuwa na Single Mother kabisa hivyo basi chacho cha Single Mother ni Wanaume.