Tetesi: Kuna tatizo la msingi

Chato inaependelewa kuliko Tanzania nzima kwakuwa tu Rias wa Tanzania wa sasa anatoka huko. Nyerere hakuwa Mpuuzi hivi!
kama chato imependelewa kupewa lockdown, hakuna kilicho haribika nayo ni sehemu ya tz hamia kawe mkazi wa kule tena Chumba cha elf15 unapata Maisha ya pale cheap
 
Chato Kuna watu,Dar Kuna robots za kuzalisha revenue ya serikali,kazi ni kwako
 
Mnaotaka lockdown nendeni chato jiwe kawapa hitaji lenu la Moyo
Mmm kumbe ni kweli chato ipo under lockdown? Wasije wakafa kwa njaa tu na kuikosesha mapato serikali,nakumbuka Kuna ofisi ya TRA pale
 
DESIGNETED SURVIVAL.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uongo,Magufuli ni rais wa Tanzania si chato pekee yake,hakuna namna rais wa nchi anaweza akaamuru wanachato wapime corona nyumba kwa nyumba wakati wengine wanasubiria vipimo vipelekwe kwanza Dar then after some days ndo wanarudishiwa majibu.Hili likifanyika watanzania Kama wanaakili timamu hawawezi kukubali
 
Aisee ..!
Ngoja niwe ndugu msomaji tu.
 
Walivyo mmiminia risasi Tundu Lissu waliona kifo ni kitu kirahisi,sasa wanaikimbia kifo hadi wamepoteana.
Kitawafata popote mlipojichimbia wanafiki wakubwa.
 
Kwani Chato hawahitaji Huduma za afya na ulinzi?
 
Huyu jamaa anatamani chattle iwe makao makuu ya nchi na kila kitu kihamie huko. Atamaliza mda wake na chattle haitabadilika sana.
 
Dar iwe under lockdown mishahara itatolewa wapi? suburi tu mwezi 7 shule zinafunguliwa iwe ugonjwa umeisha au lah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…