Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Ni hao.Daaah hawa ndo huwa wanakuja kuchukua makaa ya mawe na gari zao zenye usajiri wa Rwanda??
California love
Taratibu nchi zinazotuzunguka zimeanza kuelewa umuhimu wetu na kwanini hatukufunga mipaka yetu, sisi hatupigi kelele kama wao, tunatekeleza kimya kimyaHali ni mbaya!
Kiwanda hicho kipo Bugarama nchini Rwanda.Inasemekana mda si mrefu kitafungwa kwa kukosa malighafi ya makaa ya mawe ambayo kwalo huwa yanatoka upande wa Tz.
Ikumbukwe leo ni takribani siku ya 18 mpaka baina ya Tanzania na Rwanda haufanyi kazi kwasababu ya madereva wa Tanzania kupinga unyanyasaji na kubaguliwa huko upande wa Rwanda.
Mtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
Badilisha username weweMtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
Kaeni kwenu namakorona yenu ..msituletee matatizo sisi Wanyarwanda.Badilisha username wewe
Mtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
Mimi mwenyewe nipo hapa Kamembe.Source?
Wewe umepona lini?
Kiwanda cha Cimerwa kufungwa kutokana na kukosa Makaa ilikuwa ni obvious,Mtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
Piga picha hata ya hilo getiMimi mwenyewe nipo hapa Kamembe.
Subirini tuwavishe peteKaeni kwenu namakorona yenu ..msituletee matatizo sisi Wanyarwanda.
Nimekwambia nipo hapa Kamembe mjini.Sasa geti la CIMERWA na Mimi niliyepo Rusizi 1 hapa wapi na wapi!?Piga picha hata ya hilo geti