Tetesi: Kuna tetesi kwamba Kiwanda cha cement CIMERWA huko Rwanda hatarini kufungwa kwa kukosa makaa ya mawe kutoka nchini Tanzania

Tetesi: Kuna tetesi kwamba Kiwanda cha cement CIMERWA huko Rwanda hatarini kufungwa kwa kukosa makaa ya mawe kutoka nchini Tanzania

Mtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
Kama we ni mtanzania basi unayo corona lakini kama wewe ni mkenya basi una bahati, Rudi kwenu Kenya haraka iwezekanavyo.
 
Wewe kwani Unadhani CCM ndio nini
CCM ni chama bora na kikongwe ambacho kipo tanzania kinatawala nchi ya tanzania,
chama ambacho muasisi wake mwalimu nyerere aliruhusu wanyarwanda na warundi kuja kupata hifadhi wakati walipokua wanachinjana kama kuku na kutupana kwenye mito mikubwa.
umesikia au niongeze sauti ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wamekuambia Mimi nimzee mpaka niwe ccm ..ccm nichama cha watu wasiokuwa na maisha bora watu wavijijini huko waliougua corona wakaenda kujiuguzia chattle .
 
Back
Top Bottom