Kuna facilities za kuhifadhi mafuta pale Rusumo?Bado tuna nafasi nzuri Sana ya ku loby hili swala na tuka win, Mizigo ishushwe boda , full stop , wao watamalizia na magari yako kutoka hapo.
Sent
Subirini tuwavishe pete
Sasa piga picha hata bango tu ili tuamini unachopsti kwa maana fake news zinatuharibia jukwaaNimekwambia nipo hapa Kamembe mjini.Sasa geti la CIMERWA na Mimi niliyepo Rusizi 1 hapa wapi na wapi!?
Aisee this is pure lie. Eti wanasayansi wanapendekeza muingiliano? Umesikia wapi wakisema hivyo?Corona tutaishi nayo kwa kinga ya mwili. Wanasayansi wanapendekeza mwingiliano unasaidia kukuza kinga kwa kubadilishana backeria na virus.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni dharula mkuu, Tank to Tank,
Abadili na avatar piaBadilisha username wewe
Mimi nimnyarwanda sisi hatuna corona kama yenu
Umeweka avatar ya CCM halafu upo Rwanda [emoji1206]?Mtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
Wewe kwani Unadhani CCM ndio nini
Hali ni mbaya!
Kiwanda hicho kipo Bugarama nchini Rwanda.Inasemekana mda si mrefu kitafungwa kwa kukosa malighafi ya makaa ya mawe ambayo kwalo huwa yanatoka upande wa Tz.
Ikumbukwe leo ni takribani siku ya 18 mpaka baina ya Tanzania na Rwanda haufanyi kazi kwasababu ya madereva wa Tanzania kupinga unyanyasaji na kubaguliwa huko upande wa Rwanda.
Yap, zipo nyingi sana Songea gari zenye usajili wa RwandaDaaah hawa ndo huwa wanakuja kuchukua makaa ya mawe na gari zao zenye usajiri wa Rwanda??
California love
Hiyo nchi mkoa,bananeni hukohuko hatuwaitajiMtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
Hiyo nchi mkoa,bananeni hukohuko hatuwaitaji
Aisee kumbe ndio mana ule utitiri wa zile trucks za blue zizioni, kwa wngi wa zile gari ni wazi hicho kiwanda kinategemewa na wengi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigo wa uhakika na bei nafuu upo Tz tunduruUnaona kiwanda cha Rwanda kufungwa umeangalia upande wa pili makaa ya mawe kudoda na pesa kukosa hili swala ni kotekote japo mwenye kiwanda anaweza kutafuta kwingine si kwamba makaa yapo Tanzania tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata mimi nimelisikiaAisee this is pure lie. Eti wanasayansi wanapendekeza muingiliano? Umesikia wapi wakisema hivyo?
Unachoongelea ni herd immunity .. ambapo 60% ya watu lazima waumwe ili 40% wapone.
Lakini kwenye hao 60% uwezekano wa kupona na kujenga kinga ya mwili ni mdogo.
+ si virus vyote vinazuiwa kwa kinga ya mwili. La si hivyo ukimwi , ebola, surua na mengine yasingekuwa tishio kwetu kabisa.
Yangeshaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app