TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Ukiwa Kwenye uzi wa Kenya unakua mkenya now uzi wa Rwanda umekua mrwanda aseee kazi kwel kwel[emoji1656][emoji1656]Mimi nimnyarwanda sisi hatuna corona kama yenu
Ukiwa Kwenye uzi wa Kenya unakua mkenya now uzi wa Rwanda umekua mrwanda aseee kazi kwel kwel[emoji1656][emoji1656]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mzaha
Kwa hiyo roho yako chafu hata shetan anajifunza kwakoHila siwezi kuwa upande wa shetani.
Kama we ni mtanzania basi unayo corona lakini kama wewe ni mkenya basi una bahati, Rudi kwenu Kenya haraka iwezekanavyo.Mtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
Kama we ni mtanzania basi unayo corona lakini kama wewe ni mkenya basi una bahati, Rudi kwenu Kenya haraka iwezekanavyo.
viwanda vinakufa huko kwenu rwanda na chakula kimeisha.Mtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
ana upungufu wa akili kichwani huyu jamaa,ata uandishi wake na avatar yake vinajieleza
Endelea kuota.Aaah, mtapata tabu sana.
viwanda vinakufa huko kwenu rwanda na chakula kimeisha.
mnazidi kuwa na maisha magumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuota.
CCM ni chama bora na kikongwe ambacho kipo tanzania kinatawala nchi ya tanzania,Wewe kwani Unadhani CCM ndio nini
ana upungufu wa akili kichwani huyu jamaa,ata uandishi wake na avatar yake vinajieleza
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM ni chama bora na kikongwe ambacho kipo tanzania kinatawala nchi ya tanzania,
chama ambacho muasisi wake mwalimu nyerere aliruhusu wanyarwanda na warundi kuja kupata hifadhi wakati walipokua wanachinjana kama kuku na kutupana kwenye mito mikubwa.
umesikia au niongeze sauti ?
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kama ni wao mbona mgomo hauwahusu?Ni hao.