t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Una uhakika Rwanda hawatumii, coal? Unajua metric times ngapi Cimerwa inachukua kutoka Ruvuma ? Clean energy ihubiri Rwanda ,akati hiyo south africa yenywee bado unatumia na ku export coal?A few weeks ago, Rwanda’s sole cement producer, CIMERWA Ltd announced that it had made about Rwf4.5 billion francs in profit, a 24% margin, after several years of shifting difficult gears to find a profitable momentum. tuendelee kujifukiza tu, bila kusahau ndimu na tangawizi.........by the way nikufahamishe tu kwamba sera za Rwanda hawakubali sorce of energy inayochafua mazingira so hawatumii makaa ya mawe
Sent