Tetesi: Kuna tetesi kwamba Kiwanda cha cement CIMERWA huko Rwanda hatarini kufungwa kwa kukosa makaa ya mawe kutoka nchini Tanzania

Tetesi: Kuna tetesi kwamba Kiwanda cha cement CIMERWA huko Rwanda hatarini kufungwa kwa kukosa makaa ya mawe kutoka nchini Tanzania

A few weeks ago, Rwanda’s sole cement producer, CIMERWA Ltd announced that it had made about Rwf4.5 billion francs in profit, a 24% margin, after several years of shifting difficult gears to find a profitable momentum. tuendelee kujifukiza tu, bila kusahau ndimu na tangawizi.........by the way nikufahamishe tu kwamba sera za Rwanda hawakubali sorce of energy inayochafua mazingira so hawatumii makaa ya mawe
Una uhakika Rwanda hawatumii, coal? Unajua metric times ngapi Cimerwa inachukua kutoka Ruvuma ? Clean energy ihubiri Rwanda ,akati hiyo south africa yenywee bado unatumia na ku export coal?

Sent
 
Una uhakika Rwanda hawatumii, coal? Unajua metric times ngapi Cimerwa inachukua kutoka Ruvuma ? Clean energy ihubiri Rwanda ,akati hiyo south africa yenywee bado unatumia na ku export coal?

Sent
Zaidi ya uhakika, wanatumia peat
 
Zaidi ya uhakika, wanatumia peat
Wameanza kutumia lini? Unafahamu calorific value ya peat itahutaji volume kubwa sana kuunguzwa ili kiwanda kitengeneze clinker ? , Kwa nini bado gari za coal kutoka Cimerwa bado zipo barabarani?

Sent
 
Rwanda wanachukua makaa ya Mawe Songea,inawezekaa likawa kweli au sio kweli ,lakin gari zao wanaendesha wanyarwanda wenyewe na zina no za rwanda
 
Back
Top Bottom