Tetesi: Kuna tetesi kwamba Marekani inapanga kutangaza vikwazo kwa Serikali ya Tanzania

Mbona Obama kawawekea vikwazo urusi

Je baraza la UN walipiga kura
 
Misaada tunaopewa na wafadhili kwa ajili ya budget na miradi mbalimbali.Aihusu UN hivi una habari kama wafadhili hawaja donate kwenye budget yetu!
 
sisi watanzania tumeshazoea shida sasa hivo vikwazo tukiwekewa na hao wamarekani sisi itatusaidia nini maana tushazoea shida hebu mnaelewa hili jambo mtusaidie

..ni kweli wananchi wa kawaida tumezoea shida.

..je watawala wetu wamezoea shida?

..siungi mkono Tz kuwekewa vikwazo. Lakini vilevile siungi mkono uchaguzi ulivyovurugwa kule Zanzibar.
 
Mlifikiri kususia uchaguzi wa marudio ndiyo suluhu?
Waambie watoe hiyo misaada yao ya kishetani hata leo.
 
Misaada tunaopewa na wafadhili kwa ajili ya budget na miradi mbalimbali.Aihusu UN hivi una habari kama wafadhili hawaja donate kwenye budget yetu!
Tanganyika katika upande wa budget hatuna wafadhili ila tuna wadau wa maendeleo ( Development Partners) ambao wanatusupport ktk budget yetu na wadau hao ni Canada, Denmark, Finland, Germany, Ireland, Japan, Sweden, UK, African Development Bank, European Union, World Bank na Finland. ukiangalia wote ni nchi na banks ambzo zote tuko nazo vizuri kimahusiano Tatizo ni vitaasisi vinavyotoka nchi hzo ndo kidogo tuna tatizo navyo mfano
Millennium Development Goals (MDGs) bahati nzuri Taasisi hzo hazichangii kwenye budget bali ni kwenye development projects
 
Labda na wewe sasa naomba kujua msimamo wako; je tuendelee kupiga KURA za kuchagua vongozi wetu au tufute utaratibu wa kupiga KURA!?
 
Nadhan marekan sasa ivi waache izi sera za vikwazo uku africa wawe wanakuja tu kama wanavyowachomoa madikteta uarabuni vinginevyo hawa watu hawatatoka wataendelea kukandamiza chini tu tutabaki tunaumia sisi tu wakat wao wanaendelea na maisha yao afterall they just dont care so america bring your planes and drones and bomb these idiots and put themout of their misery
 
mkuu
mkuu, ili ofisi iende unahitaji vitendea kazi. ukiwa na akili utakuwa umeelewa. hautakiwi kutumia hela yako ya mfukoni kufund huduma za serikali. wewe nawe naona akili yako ni kama ya wao, na hivyo ndivyo mnavyoamini mnajenga nchi. ni bahati mbaya sana watu aina yako ndio wamejaa madarakani.
 
Mleta mada kama mpemba flani hivi..acha Maalim aendelee kutoa matumaini ili siku ziende
 
 
wafanye fasta hiyo vikwazo vitatufundusha maana ya siasa.nadhani 2020 tutaelewa vizuri sio ushabiki tu wa KINAZI
 
Wewe ni nani?
 
watuwekee vikwazo tu ili tukose wote,maana mi nmechoka hii nchi, balaa
 
Source ndg
 
Tetesi hizo zinaendelea kueleza kuwa wana CUF wote watahamia Marekani!!
 
Thubutu yao. ..wakale wapi..afanalek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…