Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Ok siwezi kukupinga au kukubaliana nawe ila ngoja tusubiri muda ukifika Trump akikabidhiwa madaraka najua atakuwa na kiherehere cha kuanza kutawala atatangaza tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani yeye atadhulika nini nahivyo vikwazo anakula buree,kulala buree kila kitu anapata.Tutaumia sisi wa huku mtaani ambao tayali kaonesha hajali mateso yetu
Kumbe unajua haya fanyeni maujinga yenu muone.Hata kama ni kweli, USA mpya inazaliwa Januari 20. D.Trump hataki huo ujinga!
Kwani Obama atafanya haya mambo ndani ya wiki mbili kabla ya Trump kuingia ofisini?na underson ndambo.
Taifa la Marekani linatarajia kushusha rungu la aina yake kwa serikali ya Tanzania kufuatia hali ya sintofahamu inayoendelea nchini kutokana na sakata la uchaguzi mkuu wa Zanzibar.
Habari zinadokeza kuwa taifa hilo kubwa duniani litaweka vikwazo vya kiuchumi kwa Tanzania hali itakayopelekea Tanzania kuandika historia nyingine mbaya mbele ya uso wa dunia.
Serikali ya Marekani tayari imezuia misaada mbalimbali kwa Tanzania na pia ndiyo iliyoshinikiza Tanzania kunyimwa fedha za MCC, pamoja na kuzishawishi nchi zengine. Serikali ya Tanzania ipo hatarini kukumbwa na janga la njaa, ikiendelea kupuuza juhudi za kimataifa kuitaka kuumaliza kwa haraka mgogoro wa Zanzibar unaofukuta kwa kuacha haki itendeke kabla ya Febr 2017.
Habari zinadokeza kuwa balozi wa Marekani nchini atatoa msimamo unaoelezwa kuwa 'mkali' ili kuishinikiza serikali ya Tanzania kuheshimu maamuzi ya wananchi kwenye uchaguz mkuu wa Zanzibar uliofanyika 25th Oct 2015.
Dua la kuku
Hujacopy umetunga
Punguza mapovu kama dua halimpati mwewe wasiwasi wako nini.Dua la kuku halimpati mwewe rungu atashishiwa mama yako
Unajuaje kama siyo sera ya Trump.Kwani Obama atafanya haya mambo ndani ya wiki mbili kabla ya Trump kuingia ofisini?
NINA MASHAKA na huu uzi!!
Uzushi tu huu, Yaan vyombo vikubwa vya habari vya kimataifa vishindwe kupata hizi tetesi wewe ambaye upo Tanzania ndo uipate?
Hakuna kitu kama hicho, na Obama hawezi kufanya kitu kama hicho, kama TUME ya uchaguzi ingelikuwa imemtangaza rasmi Maalim Seif kama Rais afu CCM ikashinikiza matokeo yafutwe hapo kweli vikwazo vingewekwa, lakini kwa namna ilivyotokea ni ngumu sana hatua kama hizo kuchukuliwa, labda useme kuwa, MAREKANI ilazimishe mazungumzo kati ya CUF na Serikali yafanyike lakini si vikwazo.
Watu kama hawa wasikupotezee muda..dawa yao ni kuwapuuza tu[/QUOT kama Mugabe anavowapuuza