Kuna tiba nzuri ya gono?

Kuna tiba nzuri ya gono?

Wakuu habari. Natumaini ni wazima wa afya.
Nna kijana wangu anasumbuliwa na gono na amepata matibabu mapema na kama liza dozi. Lakini halia ake bado ni ngumu haileti matumaini. Ushauri wenu jamani..ipi njia nyingine ya kufanya aweze pona .Na dWa alizo tumia ni cefixeme.
power seif sijui mepatia. AZUMA TBS kwisha kazi
 
Nenda hosi ukafanyiwe culture na uende hosi ya kueleweka ukienda hizi hosi uchwara utakula madawa na kuchomwq sindano mpaka ufe na hutapona mimi ilinitesa sana mpaka kukutana na daktari mjuzi ndio akanisaidia
 
Nasumbuliwa Sana na huu ugonjwa msaada hospital ulipoenda
 
Nasumbuliwa Sana na huu ugonjwa msaada hospital ulipoenda
Embu kama imeshindikana kabisa muone daktari wa mifugo kwa sababu hata wanyama kama mbwa na punda washikwa kuna jamaa angu alipewa dozi ya hawa wanyama akapona. 𝐍𝐣𝐨𝐨 𝐏𝐌
 
Back
Top Bottom