Kuna tija gani kuingiza mchepuko wa BRT phase 3 airport?

Kuna tija gani kuingiza mchepuko wa BRT phase 3 airport?

Huu ndo upumbavu unaoendelea pale JNIA. Sasa kama kwenda Mbezi ni 70000 si bora niende zangu tu Mwanza kwwa sababu nauli zinalingana?
FB_IMG_1776855382074.jpg
 
Hakuna siku nimeandika comment humu halafu asijitokeze mwendawazimu kupinga na kutoa lugha chafu. Hongera sana kwa kuwa mwendawazimu wa kwanza kwenye huu uzi.
Huna mchango wowote wa maana, kama huyo mama yako Samia mhalifu anayesubiri kuwajibishwa kwa uhalifu aliowafanyia waTanzania.
 
Nakumbuka Terminal One ilikuwa nashuka kwenye ndege napanda daladala huyooo Nyumbani.
Sio vibaya kuwa na daladala Airport, sio wapanda ndege wote wana private transport.
"Terminal One" na "Daladala" wapi na wapi mkuu?

Unapotaka kuwa mwongo, jaribu kutumia akili kidogo!
Waliopanda ndege nyakati hizo usingewaingiza ndani ya UDA wala Daladala.

Ungesema UDA, hapo ningekwambia kwamba hata hilo lisingekuwa kawaida ya airport..
 
Watu wengi hawana exposure, kwa MTU yoyote ambaye katumia Airport yetu mara kadhaa anaweza akaona uhitaji wa public transport maeneo hayo.
Wakati mwingine ni ujinga tu na ubinafsi wa baadhi ya raia, imagine kuna raia zilikuwa zinataka na kutokwa povu kabisa wakitaka bus zote za Dar zianze na kuishia Mbezi Magufuli stendi tu!
 
Hakuna sehemu Nchi hii watu wanapigwa hela ndefu kama hapo Airport, kuanzia Bolt Hadi Tax hela ni ndefu Sana, kama huna usafiri binafsi Pana shida Sana hapo. Hata kwa wageni wanaokuja kutoka nje kama kipato chake si kikubwa ni lazima atalalamika.

Pia huwezi kumtoa MTU na mabegi aende Hadi puma kule, imagine Bibi Mzee na mibegi yake anafikaje kule? Na ukitaka amkodi MTU Hadi puma ni Yale Yale Tu hujamsaidia.
Labda tupate somo kutoka kwa wenzetu waliosafiri maeneo mengi duniani mimi kwa uchache wa maeneo niliyiwahi kusafiri nimeona zaidi treni tena ziko elevated, kumbuka na TRC anataka kuleta treni pia JNIA, kilichonifanya mimi kutoa maoni ni jografia ya eneo letu, think about chaotic ya traffic jam eneo lililokuwa proposed kuweka kituo, left and right una mageti ya kuingilia na kutokea ambapo magari lazima yasimame tu….halafu hatua chache uko kwenye Trunk Road aisee
 
Huu ndo upumbavu unaoendelea pale JNIA. Sasa kama kwenda Mbezi ni 70000 si bora niende zangu tu Mwanza kwwa sababu nauli zinalingana?View attachment 3577392
Hili si suala la kihandisi ni suala la kitawala zaidi mkubwa, tume ya walaji inaweza ku intervene na kuhoji kwa niaba ya mteja, upande wa pili nao utatoa sababu zake kwa nini waliafikiana bei ile elekezi
 
Sema wabongo ni wavivu sana wa kufanya mazoezi na wanakula hovyo hovyo sana distance fupi kama ile ya kutoka kwenye terminals mpk barabarani ni inshu 😃, umwinyi utatumaliza, kuna airports unatembea distance kubwa tu tena ndani ya terminal
 
Sema wabongo ni wavivu sana wa kufanya mazoezi na wanakula hovyo hovyo sana distance fupi kama ile ya kutoka kwenye terminals mpk barabarani ni inshu 😃, umwinyi utatumaliza, kuna airports unatembea distance kubwa tu tena ndani ya terminal
Vipi kuhusu wazee?
 
Eneo la airport ni finyu lazima litumike kwa uangalifu mkubwa, kama eneo la airport lingekuwa limejitosha tusinge waondoa watu wa Kipawa na kujenga T3.
 
Nakumbuka Terminal One ilikuwa nashuka kwenye ndege napanda daladala huyooo Nyumbani.
Sio vibaya kuwa na daladala Airport, sio wapanda ndege wote wana private transport.
Sawa mkubwa wkt huo si wkt wa sasa nenda tu kwenye number.
 
Pamoja na takwa la Serikali la kuhakikisha miundo mbinu inasomana, Kwa maoni yangu, sioni tija ya mradi wa BRT awamu ya tatu kuingiza mchepuko wake ndani ya Airport ya Kimataifa ya Julius Nyerere kutokana na sababu chache zifuatazo:
  1. Ukizingatia umbali wa vituo vingine vya BRT kituo cha airport karibu na puma, kingine kituo cha BRT Karakata (almost mita 500)
  2. Matumizi bora ya ardhi airport ni sehemu nyeti sana na finyu kwa kwa maana ya JNIA lazima tuwe makini ya kuchagua nini tunajenga na kwa nini?
  3. Ongezeko la traffic jam kuingia na kutoka airport kwa maana ya distance ya barabara kubwa T24 eneo ni finyu la plus mabasi ya BRT totally chaos……….
Kimsingi wako sahihi sana. Inabidi Tena iingie ndani kabisa terminal 3 na 2.
Tembelea nchi za watu uone

Kwa na SGR pale station, BRT ilipaswa iingie ndani, watu wasivuke kabisa Barabara.

Tembelea south Africa miji ya Capetown and Johannesburg ujifunze
 
Labda tupate somo kutoka kwa wenzetu waliosafiri maeneo mengi duniani mimi kwa uchache wa maeneo niliyiwahi kusafiri nimeona zaidi treni tena ziko elevated, kumbuka na TRC anataka kuleta treni pia JNIA, kilichonifanya mimi kutoa maoni ni jografia ya eneo letu, think about chaotic ya traffic jam eneo lililokuwa proposed kuweka kituo, left and right una mageti ya kuingilia na kutokea ambapo magari lazima yasimame tu….halafu hatua chache uko kwenye Trunk Road aisee
Mwendokasi ina barabara yake hio jam unayoongelea wewe ni ipi? Na mwendokasi ipo proved kupunguza jam ikiendeshwa kwa ufanisi.

Wakati mwendokasi ya kimara haijaanza Foleni ya magomeni ilikua ikifika Hadi Kariakoo, soon baada ya mwendokasi kuja almost iliisha, sasa hivi foleni inarudi sababu mwendokasi haiendeshwi kwa ufanisi.

Cha muhimu iendeshwe Tu kwa ufanisi.

Pia major Airport zote Duniani Public Transport ni lazima, ni Haki ya Raia hio si kila MTU anaweza Ku Afford Taxi, kwa huku Nchi za kimasikini ndio kabisa.
 
Ndege ni kama daladala tu.
Kaka hili si kweli kabisa dah, labda nikupe elimu ndogo tu kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uchumi wa nchi husika na usafiri wa ndege. ..kwa uchumi huu wa nchi inayojitafuta
 
BRT Kuingia Hadi Airport ni worst project. Sasa ushuke kwenye ndege Kisha upande basi/daladala. Bora kubaki taxi na private car tu. Brt uchafu tu .
Uchafu ni kuichukulia ndege kama kitu cha anasa. Ndege ni usafiri kama bodaboda tu, ila muktadha wa safari ndio unaamua utumie usafiri upi.

Hiyo mwendokasi iwepo airport italeta maana kubwa sana. Urusi treni inaungana na airport, sisi hatuna nafasi upande wa Nyerere road kuunganisha treni ya umeme na airport. Shida yenu mnaamini kila msafiri ni mbeba vibegi na kujipigisha picha, wengine ni haraka. Tunatafuta practicality sio ubishoo kuonekana umekodi tax.
 
Back
Top Bottom