Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Acha uvivu mkuu yaani umetoka kwenye Terminal Building unauona usafiri wa umma ule pale unasema mbali aiseeUchafu ni kuichukulia ndege kama kitu cha anasa. Ndege ni usafiri kama bodaboda tu, ila muktadha wa safari ndio unaamua utumie usafiri upi.
Hiyo mwendokasi iwepo airport italeta maana kubwa sana. Urusi treni inaungana na airport, sisi hatuna nafasi upande wa Nyerere road kuunganisha treni ya umeme na airport. Shida yenu mnaamini kila msafiri ni mbeba vibegi na kujipigisha picha, wengine ni haraka. Tunatafuta practicality sio ubishoo kuonekana umekodi tax.
Acha dharau kwani kusafiri ni inshu kwako mkubwa?, unajua population ya miji ya Europe na miundo mbinu yao ukifananisha na population ya Africa na miundo mbinu yake, tatizo letu ni kutaka tembo mkubwa aingikie na kufit kwenye chumba kdg na kutaka maisha yaendelee kama kawaida, Public Transport ruksa weka treni achaneni na BRT kipande kile kiwe amended kwa maana bado kiko ndani ya scope kitumike kuboresha maeneo hayo au mengine yenye uhitaji zaidi kuliko kupoteza pesa pasina na tija ya moja kwa mojaMuwage mnasafiri kenge nyie
Ukute umesafiri sana ni kijijini kwenu mpanda
Inshu ❎ ishu ✅. Wewe ni mrundi?Sema wabongo ni wavivu sana wa kufanya mazoezi na wanakula hovyo hovyo sana distance fupi kama ile ya kutoka kwenye terminals mpk barabarani ni inshu 😃, umwinyi utatumaliza, kuna airports unatembea distance kubwa tu tena ndani ya terminal
Dah ndg achaku-distort mada, maana nia yangu si mbaya, ndo maana nimelileta kama opinionInshu ❎ ishu ✅. Wewe ni mrundi?
Tanzania hakuna shida ya maeneo bali ya mipango miji.Eneo la airport ni finyu lazima litumike kwa uangalifu mkubwa, kama eneo la airport lingekuwa limejitosha tusinge waondoa watu wa Kipawa na kujenga T3.
Kwa Mentality hii ndio maana mliiua Fastjet?Kaka hili si kweli kabisa dah, labda nikupe elimu ndogo tu kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uchumi wa nchi husika na usafiri wa ndege. ..kwa uchumi huu wa nchi inayojitafuta
Mjinga weweAcha dharau kwani kusafiri ni inshu kwako mkubwa?, unajua population ya miji ya Europe na miundo mbinu yao ukifananisha na population ya Africa na miundo mbinu yake, tatizo letu ni kutaka tembo mkubwa aingikie na kufit kwenye chumba kdg na kutaka maisha yaendelee kama kawaida, Public Transport ruksa weka treni achaneni na BRT kipande kile kiwe amended kwa maana bado kiko ndani ya scope kitumike kuboresha maeneo hayo au mengine yenye uhitaji zaidi kuliko kupoteza pesa pasina na tija ya moja kwa moja
Unajua vizuri biashara ya ndege ama unapayuka tuKwa Mentality hii ndio maana mliiua Fastjet?
Watu watoke terminal building waburuze mabegi mpaka kituo cha mwendokasi? Na wagonjwa, wazee, watoto?Acha uvivu mkuu yaani umetoka kwenye Terminal Building unauona usafiri wa umma ule pale unasema mbali aisee
Kinachofuata mtataka magari ya mwendokasi yawafuate mpk nyumbani sasaWatu watoke terminal building waburuze mabegi mpaka kituo cha mwendokasi? Na wagonjwa, wazee, watoto?