GE2025 Kuna tija gani ya kushiriki Uchaguzi chini ya mazingira yaliyopo?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!

“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.

Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.

Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.

Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!

Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.

Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.

Predicting the obvious is not genius.

Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:

Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?

Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?

Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?

Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:

Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.

Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.

Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.

Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?

I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.

Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
 
Katabiri kwamba Tundu Lissu ataachiwa 🤣, as if that is a flex!

Of course Tundu Lissu ataachiwa tu kama alivyoachiwa ghaidi Mbowe na wanasiasa wengine huko nyuma.

Kesi za kutungwa malengo yake huwa ni unyanyasaji tu.
Tabiri zake zimekaa kimkakati sana
 
Pascal Mayalla mzee wa "voices from within"
Ni kweli,mimi ni mzee wa masauti,wakati wengi wakisubiri kupiga kura October, akina sisi tuliisha wapa the voices from within ya mgombea wa CCM wa 2015, ilitolewa 2014 Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli na ikawa!.

Voices from within ya mgombea CCM wa 2025, ilitolewa hapa kwenye mada HII toka 2022!.

Na matokeo ya uchaguzi wa 2025 tuliyatoa toka mwaka jana Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
Voices from within nyingine ni hizi
- Pre GE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!

P
 
Hahahaha.

Voices from within. Mapepo hayo.

Mambo ya TEETH kwa akina GENTAMYCINE

Mikakati 😂😂🤣🤣

Natabiri kesho jua litawaka. 🤭🤭😂😂
 
Attachments

  • teeth-whitening-graphic.png
    teeth-whitening-graphic.png
    74.8 KB · Views: 41
Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!

“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.

Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.

Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.

Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!

Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.

Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.

Predicting the obvious is not genius.

Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:

Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?

Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?

Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?

Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:

Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.

Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.

Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.

Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?

I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.

Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
Uchaguzi ni njia ya kuhalalisha waliojichagua kuongoza waendeleze nia yao. 😂😂😂😂😂😂😂
 
Nachojua mimi ni kwamba mwaka huu idadi ya wapiga kura itakuwa ndogo kuliko miaka yote ikiwa hayatafanyika mabadiliko. Ccm watatumia garama kubwa kuwashawishi watu ili wajitokeze kupiga kura lakjini bado idadi itakuwa ndogo.
Ccm wanaamini watanzania ni wajinga.
 
Nasubiri ile porojo yako ya 2025 ni yeye aliyechaguliwa na yeye, kama si yeye basi ni yeye. Mwenzako britanicca analizimisha kupakua chai ya moto huko, ila hakuna kitu. Ngoja tuone na ww porojo zako.
 
Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!

“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.

Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.

Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.

Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!

Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.

Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.

Predicting the obvious is not genius.

Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:

Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?

Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?

Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?

Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:

Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.

Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.

Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.

Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?

I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.

Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
Uchaguzi huo ambao matokeo yanajulikana utagharimu Tsh Trilioni moja
 
Nakumbuka ulisema voices from within zimekwambia samia asigombee urais 2025, na akilazimisha kugombea ATATWALIWA kama BLAZA.

Ngoja tuone kama ATATWALIWA.

Na asipotwaliwa utatuambia tusubiri, wakati wa Mungu bado, atatwaliwa 2030.

Sema mzee mayalla kuna muda una fiksi sana.
 
Back
Top Bottom