Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Katabiri kwamba Tundu Lissu ataachiwa 🤣, as if that is a flex!Pascal Mayalla mzee wa "voices from within"
Tabiri zake zimekaa kimkakati sanaKatabiri kwamba Tundu Lissu ataachiwa 🤣, as if that is a flex!
Of course Tundu Lissu ataachiwa tu kama alivyoachiwa ghaidi Mbowe na wanasiasa wengine huko nyuma.
Kesi za kutungwa malengo yake huwa ni unyanyasaji tu.
Ni kweli,mimi ni mzee wa masauti,wakati wengi wakisubiri kupiga kura October, akina sisi tuliisha wapa the voices from within ya mgombea wa CCM wa 2015, ilitolewa 2014 Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli na ikawa!.Pascal Mayalla mzee wa "voices from within"
Hahahaa. Lol 😂😂🤣🤣Ni kweli,mimi ni mzee wa masauti,wakati wengi wakisubiri kupiga kura October, akina sisi tumeisha wapa matokeo toka mwaka jana
P
Ndo maana hupati teuzi, kumbe sababu ndo hii!Ni kweli,mimi ni mzee wa masauti,wakati wengi wakisubiri kupiga kura October, akina sisi tumeisha wapa matokeo toka mwaka jana
P
Uchaguzi ni njia ya kuhalalisha waliojichagua kuongoza waendeleze nia yao. 😂😂😂😂😂😂😂Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!
“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.
Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.
Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.
Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!
Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.
Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.
Predicting the obvious is not genius.
Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:
Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?
Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?
Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?
Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:
Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.
Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.
Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.
Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?
I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.
Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
Nasubiri ile porojo yako ya 2025 ni yeye aliyechaguliwa na yeye, kama si yeye basi ni yeye. Mwenzako britanicca analizimisha kupakua chai ya moto huko, ila hakuna kitu. Ngoja tuone na ww porojo zako.Ni kweli,mimi ni mzee wa masauti,wakati wengi wakisubiri kupiga kura October, akina sisi tuliisha wapa the voices from within ya mgombea wa CCM wa 2015, ilitolewa 2014 Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli na ikawa!.
Voices from within ya mgombea CCM wa 2025, ilitolewa hapa kwenye mada HII toka 2022!.
Na matokeo ya uchaguzi wa 2025 tuliyatoa toka mwaka jana Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
Voices from within nyingine ni hizi
- Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
- Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
- Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
-
P
Uchaguzi huo ambao matokeo yanajulikana utagharimu Tsh Trilioni mojaUchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!
“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.
Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.
Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.
Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!
Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.
Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.
Predicting the obvious is not genius.
Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:
Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?
Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?
Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?
Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:
Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.
Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.
Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.
Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?
I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.
Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
Nakumbuka ulisema voices from within zimekwambia samia asigombee urais 2025, na akilazimisha kugombea ATATWALIWA kama BLAZA.Ni kweli,mimi ni mzee wa masauti,wakati wengi wakisubiri kupiga kura October, akina sisi tuliisha wapa the voices from within ya mgombea wa CCM wa 2015, ilitolewa 2014 Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli na ikawa!.
Voices from within ya mgombea CCM , ilitolewa hapa kwenye mada HII toka 2022!.
Na matokeo ya uchaguzi wa 2025 tuliyatoa toka mwaka jana Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
Voices from within nyingine ni hizi
- Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
- Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
P
- Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
- Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein jamaa alishindwa wale jamaa wakapindua meza.