Mechi sikuiangalia imenibidi kuangalia marudio Azam tv ili nilione hilo goli. Mkuu embu nieleweshe kwanini unasema ni offside? Ni wakati upi mchezaji wa Yanga alikuwa kwenye offside position?Refa kaibeba yanga refa kawapa goli la offside
Wanakasi Sana nawashaelewana sasa Leo wote hawajaanza mi kuna watu nawambia saido ni mzuri Sana ila partneeship ya kaseke na yacouba ishakubali yanga wanaweza wakaAnza ku struggle Tena wakiondolewa Hawa wachezaji ili kumpa nafasi saidoKaseke na Yacoubao ni wachezaji ambao tayari wameshatengeneza partnership fulani hivi yaani wameshaelewana kwa pale mbele
Sio goli tu na penati kawanyima prison tena ya wazi imetokea mbele yakeRefa kaibeba yanga refa kawapa goli la offside
wewe uliangalia mpira kwenye vibatari! yaan beki na kipa wapo kwenye line ya goli offside itoke wapi!Wakati mpira unapigwa mukoko alikua kwenye offside position na ameingilia mpira kwa kumbugudhi kipa lakini wachambuzi wa Azam na watu wengi hawajafatilia ile movement Hadi goli la yanga wanasawazisha
Mpira wakati unapigwa juu kaseke anagongana na kipawewe uliangalia mpira kwenye vibatari! yaan beki na kipa wapo kwenye line ya goli offside itoke wapi!
sasa tushike lipi! la Mukoko kuwa offside au la kaseke kugongana na kipa!Mpira wakati unapigwa juu kaseke anagongana na kipa
Shika vyotesasa tushike lipi! la Mukoko kuwa offside au la kaseke kugongana na kipa!
Nlikosea badaya yA kaseke nikamtaja mukoko!sasa tushike lipi! la Mukoko kuwa offside au la kaseke kugongana na kipa!
Sisi tunamfunga yeyote yule.Ili Yanga ichukue ubingwa lazima iifunge Simba
Wakifungwa au sare ndiyo basi tena
Angalia wakati mpira unapigwa je Kaseke alikuwa onside position ama kwenye offside position?Nlikosea badaya yA kaseke nikamtaja mukoko!
Mikia mnahangaika kweli kutafuta visababuMorali yao itapungua kwa matokeo haya
Mtakoma miaka hii. Sio zama za Jk na malinziMikia mnahangaika kweli kutafuta visababu
Hapo hajapigaAngalia wakati mpira unapigwa je Kaseke alikuwa onside position ama kwenye offside position?View attachment 1664122
Kapewe na weweRefa kaibeba yanga refa kawapa goli la offside
Duh kuna watu wabishi duniani. Hata kama ushabiki lakini sio hivyo dah. Angalia ukaaji wa huyo mpiga cross unaona kabisa mpira ndio unapigwa lakini mtu anabisha aiseeHapo hajapiga