Kuna timu huenda ikamaliza ligi bila kufungwa hata mechi moja ila hawatachukua ubingwa.

Kuna timu huenda ikamaliza ligi bila kufungwa hata mechi moja ila hawatachukua ubingwa.

Refa kaibeba yanga refa kawapa goli la offside
Mechi sikuiangalia imenibidi kuangalia marudio Azam tv ili nilione hilo goli. Mkuu embu nieleweshe kwanini unasema ni offside? Ni wakati upi mchezaji wa Yanga alikuwa kwenye offside position?
 
Kaseke na Yacoubao ni wachezaji ambao tayari wameshatengeneza partnership fulani hivi yaani wameshaelewana kwa pale mbele
Wanakasi Sana nawashaelewana sasa Leo wote hawajaanza mi kuna watu nawambia saido ni mzuri Sana ila partneeship ya kaseke na yacouba ishakubali yanga wanaweza wakaAnza ku struggle Tena wakiondolewa Hawa wachezaji ili kumpa nafasi saido
 
Wakati mpira unapigwa mukoko alikua kwenye offside position na ameingilia mpira kwa kumbugudhi kipa lakini wachambuzi wa Azam na watu wengi hawajafatilia ile movement Hadi goli la yanga wanasawazisha
wewe uliangalia mpira kwenye vibatari! yaan beki na kipa wapo kwenye line ya goli offside itoke wapi!
 
Nlikosea badaya yA kaseke nikamtaja mukoko!
Angalia wakati mpira unapigwa je Kaseke alikuwa onside position ama kwenye offside position?
Screenshot_2020-12-31-21-06-38-294_com.instagram.android.jpg
 
Ni mapema sana kuanza kuzungumzia timu gani itakuwa bingwa kwani ligi bado sana. Walau tusubiri ifke mwezi wa tatu ndio tutajua nani na nani wana mwelekeo wa kuchukua ndoo.
 
Back
Top Bottom