This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Inaonyesha bado mvulana.Achana nao hao Mnyero fc, wanashangilia viporo wakati bado hawajavicheza. Ni sawa na kusherekea kupata mtoto wkt hujui mke wako atajifungua salama au la. Mnyero jifunzeni kushukuru ulichonacho mkononi tayari. Matokeo ya kutarajiwa ni majaliwa tu, unaweza kupata au kukosa pia, kumbuka opponent wenu kwenye hivyo viporo nao wanazitaka hizo points. Hivyo siyo rahisi Kama mnavyodhani.
Asante we demu mzuri Sana.Inaonyesha bado mvulana.
Na umejibu kivulana.Asante we demu mzuri Sana.
Demu bomba Sana wewe. Kijana wangu ataleta posa uwe mkwe wangu sawa.Na umejibu kivulana.
Simba hawakuweza kupata hata hilo goli la hovyo. Unachezea wajera jera wewe!Ila Goli la Jana lilikuwa la hovyo sana. Labda ubingwa wa kubahatisha kama Goli hilo
Labda arudi yule mkwere na akina malinzi na genge la wahuni. SIO UTAWALA HUUUUnaita timu ya wananchi utopolo?? Utafungwa wewe...
Huu msimu ni wetu, kombe letu #daimambelemwikonyuma