This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Inaonyesha bado mvulana.Achana nao hao Mnyero fc, wanashangilia viporo wakati bado hawajavicheza. Ni sawa na kusherekea kupata mtoto wkt hujui mke wako atajifungua salama au la. Mnyero jifunzeni kushukuru ulichonacho mkononi tayari. Matokeo ya kutarajiwa ni majaliwa tu, unaweza kupata au kukosa pia, kumbuka opponent wenu kwenye hivyo viporo nao wanazitaka hizo points. Hivyo siyo rahisi Kama mnavyodhani.