Ndo kawaida yao Simba SC.. Ndo maana wameitwa Wanalunyasi ila burudani inaharibika wakiwa na Vyura FC, kwavile mpira wao wanabutua butua mnoKabumbu la Simba jana ilikuwa balaa,Azam walikaa japo wameshinda
Jan amza kiraiiini kabisa wamejibebea ndooWakuu kama mnavyokumbuka jana kwa taaaabu sana Azam FC waliishinda Simba SC na kuchukua kombe la Mapinduzi
Sasa tujadili yaliyojiri wakati wa mashindano.Mimi ningependa kujua kama kuna timu iliyopukuchuliwa goli nyingi zaidi ya Yanga.Yanga iliishangaza Zanzibar kwa kudokolewa goli 8 ndani ya siku 5. Kiasi kwamba siku ya nusu fainali walikimbia na kupotea ghafla kama msichana aliyebakwa kwa kutaka mwenyewe
Simba ambayo licha ya kuonyesha kabumbu safi haikufanikiwa kuchukua kombe lakini ni timu iliyoacha gumzo Visiwani.
SWALI LA KIZUSHI
Inawezekanaje gemu wapige wengine kileleni afike mpiga chabo? Yanga bana
Hapana mjinga ni yule aliyewekewa Kombe, medal, na pesa halafu akarudi mikono mitupu eti kisa anapenda 4GLTEMjinga ni yule anaoneshwa kombe na anacheza anafungwa
Mkuu nikwambie kitu? Jaribu kutumia akili kufikiria , matako kwaajili ya kukalia naona unatatizo la kuchanganya matumizi ya viungo hiv viwiliYanga kwa Azam na simba imelala na 8 si watakuwa sugu hawa
Hawa ni kawaida yao kufungwa mbele ya kombe, niwakumbushe kidogo.Mjinga ni yule anaoneshwa kombe na anacheza anafungwa
Goli nane zipi?Niseme tu,simba tulifanya uzembe kumkaba yule kijana.Japo tumecheza vizuri,tukiri mapungufu kwenye stricking area.Yanga ndiyo timu oliyoonyesha mpira mbovu kabisa na kuruhusu kuchomwa 8.Hii imesababishwa na kukosekana Bossou pale nyuma.Mpira wetu bado sana tuache maneno.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]1 Azam bingwa karudi na kombe na million 10 medal, 2 Simba karudi na million 5 na medal, 3 Yanga karudi na 4G+4G =8G [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka wa ngapi Yanga inachukua mpunga mrefu wa VPL?[emoji12][emoji12][emoji12]mapinduzi cup
Azam karudi na kombee na milion10
Simba karudi na medali na milion5
Yangaa karudi na 4g za kusoma matokeo ya washindi[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125]
4G ya Azam ni sawa.1 Azam bingwa karudi na kombe na million 10 medal, 2 Simba karudi na million 5 na medal, 3 Yanga karudi na 4G+4G =8G [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sembo huyu huyu au mwingine?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hapana mkuu...mbumbumbu ni Sisi ambao tumerudi mikono mitupu bila Kombe, wala medal na fedhaHawa jamaa ndio maana Aden Rage anawaitaga MBUMBUMBU.
Sasa ndugu yangu kama wewe ni mtu wa mpira na unashindwa kuelewa kwamba goli za hatua ya matuta huwa hazihesabiwi kwenye ushindi wa kawaida tukuiteje? Au wanapoweka hivi 'Yanga 0-0(pen 2-4) Simba' huwa unaelewa vipi? Usitake niamini Aden Rage yupo sahihi.Hapana mkuu...mbumbumbu ni Sisi ambao tumerudi mikono mitupu bila Kombe, wala medal na fedha
Tumeng'ang'ania 4GLTE tuuu, tunarukaruka uwanjani bila mpango
Kifo ni kifo tu...kwani matuta yanatokana na netball si mpira wa miguu!?Sasa ndugu yangu kama wewe ni mtu wa mpira na unashindwa kuelewa kwamba goli za hatua ya matuta huwa hazihesabiwi kwenye ushindi wa kawaida tukuiteje? Au wanapoweka hivi 'Yanga 0-0(pen 2-4) Simba' huwa unaelewa vipi? Usitake niamini Aden Rage yupo sahihi.