Kuna timu iliyogongwa goli nyingi zaidi ya Yanga kwenye michuano ya Mapinduzi Cup?

Kuna timu iliyogongwa goli nyingi zaidi ya Yanga kwenye michuano ya Mapinduzi Cup?

Kabumbu la Simba jana ilikuwa balaa,Azam walikaa japo wameshinda
Ndo kawaida yao Simba SC.. Ndo maana wameitwa Wanalunyasi ila burudani inaharibika wakiwa na Vyura FC, kwavile mpira wao wanabutua butua mno

Hongera Azam FC
 
Wakuu kama mnavyokumbuka jana kwa taaaabu sana Azam FC waliishinda Simba SC na kuchukua kombe la Mapinduzi

Sasa tujadili yaliyojiri wakati wa mashindano.Mimi ningependa kujua kama kuna timu iliyopukuchuliwa goli nyingi zaidi ya Yanga.Yanga iliishangaza Zanzibar kwa kudokolewa goli 8 ndani ya siku 5. Kiasi kwamba siku ya nusu fainali walikimbia na kupotea ghafla kama msichana aliyebakwa kwa kutaka mwenyewe

Simba ambayo licha ya kuonyesha kabumbu safi haikufanikiwa kuchukua kombe lakini ni timu iliyoacha gumzo Visiwani.

SWALI LA KIZUSHI
Inawezekanaje gemu wapige wengine kileleni afike mpiga chabo? Yanga bana
Jan amza kiraiiini kabisa wamejibebea ndoo
 
Mjinga ni yule anaoneshwa kombe na anacheza anafungwa
Hawa ni kawaida yao kufungwa mbele ya kombe, niwakumbushe kidogo.
1. Nani anamkumbuka Bolizozo mwaka ule
2. Nani anakumbuka mwaka ule walipocheza kule Kagera, wakiamini tayari wameshamaliza ligi, halafu jamaa wakakomaa kuachia goli, na Yanga wakachukua ubingwa, kuna mchezaji alitembeza ngumi.
3. Mwaka mwingine ilikuwa kule Songea, wakacheza na Maji maji kama wanacheza mazoezi, kilichotokea wanakijua.
 
Niseme tu,simba tulifanya uzembe kumkaba yule kijana.Japo tumecheza vizuri,tukiri mapungufu kwenye stricking area.Yanga ndiyo timu oliyoonyesha mpira mbovu kabisa na kuruhusu kuchomwa 8.Hii imesababishwa na kukosekana Bossou pale nyuma.Mpira wetu bado sana tuache maneno.
 
Siku Yanga ilipompiga mtu goli sita, mada ilikuwa tofauti. Kwamba ni point tatu zile zile.

Leo naona inageuka!

Goli moja Azam kabeba Kombe. Hilo ndiyo la msingi.
 
Mikia FC umekula cha nguruwe tulia dawa ikukolee...
 
Niseme tu,simba tulifanya uzembe kumkaba yule kijana.Japo tumecheza vizuri,tukiri mapungufu kwenye stricking area.Yanga ndiyo timu oliyoonyesha mpira mbovu kabisa na kuruhusu kuchomwa 8.Hii imesababishwa na kukosekana Bossou pale nyuma.Mpira wetu bado sana tuache maneno.
Goli nane zipi?
Nne za Azam sawa. Zile za penati huwezi kuzihesabu sawa na zile ndani ya dakika tisini
Ndiyo maana sio lazima kupiga penati tano kama mmoja hawezi kumzidi aliyetangulia!
Kwa record za FIFA ule mchezo ni draw
Unakumbuka sheria ya sudden death japo iliachwa?
Kama utahesabu magoli yote For and against, nani ana balance nzuri michuono hii?
 
1 Azam bingwa karudi na kombe na million 10 medal, 2 Simba karudi na million 5 na medal, 3 Yanga karudi na 4G+4G =8G [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1 Azam bingwa karudi na kombe na million 10 medal, 2 Simba karudi na million 5 na medal, 3 Yanga karudi na 4G+4G =8G [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji12][emoji12][emoji12]mapinduzi cup
Azam karudi na kombee na milion10

Simba karudi na medali na milion5

Yangaa karudi na 4g za kusoma matokeo ya washindi[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mwaka wa ngapi Yanga inachukua mpunga mrefu wa VPL?
Hizo nyingine bora kuwaachia wengine angalau!
 
Hawa jamaa ndio maana Aden Rage anawaitaga MBUMBUMBU.
 
1 Azam bingwa karudi na kombe na million 10 medal, 2 Simba karudi na million 5 na medal, 3 Yanga karudi na 4G+4G =8G [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
4G ya Azam ni sawa.
Yale ya mafuta wala hayaingii kwenye records za idadi ya magoli kwa timu au mfungaji bora.
Kazi yake ni lottery ya kuamua nani asonge mbele au achukue kombe.
Ndiyo maana ikibidi zinapigwa penati hata kumi au sio lazima zifike tano!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sembo huyu huyu au mwingine?
Keyboard imegoma kuandika ni mwendo wa emoji tu.
Pole sana. Ndiyo mpira huo. Turudi kwenye ligi yetu. Nyie kasoro bahari sisi Majimaji!
 
Hapana mkuu...mbumbumbu ni Sisi ambao tumerudi mikono mitupu bila Kombe, wala medal na fedha

Tumeng'ang'ania 4GLTE tuuu, tunarukaruka uwanjani bila mpango
Sasa ndugu yangu kama wewe ni mtu wa mpira na unashindwa kuelewa kwamba goli za hatua ya matuta huwa hazihesabiwi kwenye ushindi wa kawaida tukuiteje? Au wanapoweka hivi 'Yanga 0-0(pen 2-4) Simba' huwa unaelewa vipi? Usitake niamini Aden Rage yupo sahihi.
 
Kifo ni kifo tu...kwani matuta yanatokana na netball si mpira wa miguu!?

Walioweka matuta wana akili na sehemu ya matokeo ya mpira, sisi ni Ndala FC tu
 
Back
Top Bottom