MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kuna Watu kweli hamnazo kabisa yaani Wewe una Mechi ngumu mno ya CAF CL badala ya kujiandaa vyema uko busy Kutambulisha Jezi Vikaragosi zao na Mwali wao Mzungu Pori.
Halafu baadae Mwanamume aliyejiandaa vyema kwa Mashindano yote yajayo kama Kawaida yake akibeba Vikombe vyote mtaanza kusema anabebwa na kuwaaminisha Ujinga na Upumbavu Mashabiki wao ambao nao 85% ni hamnazo vile vile tu.
Kama mnadhani kwa Kumkaribisha huyo Mzungu Pori na Mwali wenu ndiyo mtaogopwa na Referees wa CAF CL hivyo mtamfunga Mnaijeria na mwenye Pira Biriani na Pira Sharma lake tarehe 29 Septemba, 2021 mnajidanganya ila najua Mechi hizi Mbili tu ndizo zitawafarakanisha na Kuzuka kwa Mgogoro mkubwa sana.
Anzeni kutunga Visingizio vyenu upesi.