Kuna tofauti gani kati ya Hayati na Marehemu?

Kuna tofauti gani kati ya Hayati na Marehemu?

FYI hakuna jambazi anaeitwa Hayati kwa mujibu wa Bakita only kwa mujibu wa hiyo imani yako ya dini uliyosema ndio unaweza kufanya hivyo

Kawaida wezi, vibaka, na watu wote wanaomaliza muwa wao wa kuishi hapa duniani, kuanzia mitaani na hata kwenye vyombo vya habari huwa wanaitwa marehemu (wakimaanisha mtu aliekufa/kufariki) na wanatumia neno hilo pasipo kujali imani ya mhusika sababu ndio kiswahili fasaha

Wakifa majemedari utaona lugha inabadilika kuanzia kwenye media na kila mahali na mtu huyo anaitwa HAYATI!!

Wewe binafsi unaweza kuita utakavyo sababu ya imani yako hamna atakaekuzuia ila kwenye jamii hususa ni vyombo vya habari usitegemee hilo.


Hebu google umsikie huyo gwiji wa kiswahili kutoka Bakita anachosema ili uone kama nimekosea:--

Screenshot_20210322-133956.png
Screenshot_20210322-133937.png
 
Back
Top Bottom