Kuna tofauti gani kati ya kijana mwenye watoto ambaye hajafunga ndoa na kijana aliefunga ndoa ambaye hana watoto?

Kuna tofauti gani kati ya kijana mwenye watoto ambaye hajafunga ndoa na kijana aliefunga ndoa ambaye hana watoto?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Wakulungwa Kuna tofauti gani kubwa kiviiiiiiiiiiileeee Kati ya Hawa vijana wawili.

1. Ana watoto hajafunga ndoa na anaishi vizuri na mkewe na Wana watoto wazuri tu na wanatarajia kufunga ndoa Mambo yakikaa sawa.

2. Amefunga ndoa ila hana watoto ila Mungu atawajalia watapata.

Kati ya hao wawili Nani kamzidi mwenzake?

Mkulungwa makusudi
 
Mwenye mtoto ni baba asie na mtoto si baba iyo ndo tofauti kubwa.
 
Watoto ni majaaliwa ya Mungu.ndoa ni hiari dont confuse
 
Back
Top Bottom