Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Dec 17, 2020 #1 Wakulungwa Kuna tofauti gani kubwa kiviiiiiiiiiiileeee Kati ya Hawa vijana wawili. 1. Ana watoto hajafunga ndoa na anaishi vizuri na mkewe na Wana watoto wazuri tu na wanatarajia kufunga ndoa Mambo yakikaa sawa. 2. Amefunga ndoa ila hana watoto ila Mungu atawajalia watapata. Kati ya hao wawili Nani kamzidi mwenzake? Mkulungwa makusudi
Wakulungwa Kuna tofauti gani kubwa kiviiiiiiiiiiileeee Kati ya Hawa vijana wawili. 1. Ana watoto hajafunga ndoa na anaishi vizuri na mkewe na Wana watoto wazuri tu na wanatarajia kufunga ndoa Mambo yakikaa sawa. 2. Amefunga ndoa ila hana watoto ila Mungu atawajalia watapata. Kati ya hao wawili Nani kamzidi mwenzake? Mkulungwa makusudi
Chabrosy JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,150 Dec 17, 2020 #2 Mwenye mtoto ni baba asie na mtoto si baba iyo ndo tofauti kubwa.
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Dec 17, 2020 #3 Watoto ni majaaliwa ya Mungu.ndoa ni hiari dont confuse
Kamakabuzi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2007 Posts 2,903 Reaction score 1,360 Dec 17, 2020 #4 Chabrosy said: Mwenye mtoto ni baba asie na mtoto si baba iyo ndo tofauti kubwa. Click to expand... Kwa asiye na ndoa ni mzinifu na aliye na ndoa ana baraka zote, si mzinifu - hiyo ni tofauti yao kubwa pia kiimani
Chabrosy said: Mwenye mtoto ni baba asie na mtoto si baba iyo ndo tofauti kubwa. Click to expand... Kwa asiye na ndoa ni mzinifu na aliye na ndoa ana baraka zote, si mzinifu - hiyo ni tofauti yao kubwa pia kiimani