Kuna tofauti gani kati ya kuagiza gari nje ya nchi au kununua magari yanayouzwa 'yard' hapa nchini kwetu?

Hao wapakistan yard zao ni kama zipi?
 
Kununua kwenye Showroom za hapa kwetu ni nzuri kama Gari halijachakachuliwa km kuliko kuagiza toka Japan labda liwe kwenye stock ya Kampuni husika kuliko lililopo kwa third party
 
Yard ya hao Wapakistan naipata sehemu gani ndugu?
 
 
Mkuu wengine tunaona kama unatusimanga! Hatujui lugha ya kigeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…