Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hawa uhakika. Nilishawahi agiza, mwezi mmoja nikapata. Sijajua kwanini sasa inafika zaidi ya mweziSBT..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa uhakika. Nilishawahi agiza, mwezi mmoja nikapata. Sijajua kwanini sasa inafika zaidi ya mweziSBT..
Hao wapakistan yard zao ni kama zipi?Nawajua watu wananunua yard tu maana kusubiri na zile paperwork process pamoja na simu nyingi anaona bora anunue chap yard,pia anasema yard hua bei inaweza ikaongezeka kidogo ila gari la uhakika sababu wale wa yard hawanunui famba,anasema wenye yard wengi(Pakistanis) hawategemei faida ya gari ila mishe nyengine so ni waaminifu.
Yard ya hao Wapakistan naipata sehemu gani ndugu?Nawajua watu wananunua yard tu maana kusubiri na zile paperwork process pamoja na simu nyingi anaona bora anunue chap yard,pia anasema yard hua bei inaweza ikaongezeka kidogo ila gari la uhakika sababu wale wa yard hawanunui famba,anasema wenye yard wengi(Pakistanis) hawategemei faida ya gari ila mishe nyengine so ni waaminifu.
Nawajua watu wananunua yard tu maana kusubiri na zile paperwork process pamoja na simu nyingi anaona bora anunue chap yard,pia anasema yard hua bei inaweza ikaongezeka kidogo ila gari la uhakika sababu wale wa yard hawanunui famba,anasema wenye yard wengi(Pakistanis) hawategemei faida ya gari ila mishe nyengine so ni waaminifu.
Jan International wana bonge la yard Jijini dar es salaam..Mtaa wa msasani. Hao ni WA PakistanYard ya hao Wapakistan naipata sehemu gani ndugu?
Mkuu wengine tunaona kama unatusimanga! Hatujui lugha ya kigeni.People are programmed to be consumers not producers. We take pride on using, spending, liability assets expenses none is proud of investing somewhere.
Lipwa salary ukaenjoi you're filling the hole that can't be filled since dawn and until dusk you won't fill it.
None is proud by leaving inheritance to his grandchildren