Kuna tofauti gani kati ya malaya wa ngono na wa kiasiasa?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Japo malaya ni malaya, je kuna tofauti kati ya malaya wa ngono na siasa? Malaya wa ngono husababisha umaskini na miwaya. Wa kisiasa nao pia husababisha umaskini na uchawa. Je kuna uhusiano au tofauti gani kati ya malaya hawa aina mbili?
 
Malaya wa ngono anapata utamu na hela lakini Malaya wa siasa anapata sifa, hela sometimes na kudharaulika
 
Japo malaya ni malaya, je kuna tofauti kati ya malaya wa ngono na siasa? Malaya wa ngono husababisha umaskini na miwaya. Wa kisiasa nao pia husababisha umaskini na uchawa. Je kuna uhusiano au tofauti gani kati ya malaya hawa aina mbili?
Wote malaya tu
 
Back
Top Bottom