GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Mimi siyo mtaalamu sana ila nina kidogo cha kuchangia, 1. postgraduate diploma inatumika kubadili fani,: mfano umesoma Bsc chemistry unataka uwe mwalimu itabidi usome postgraduate diploma ili uweze kuwa mwalimu 2. sifa za kujiunga na masters kwa hapa nchini ni GPA ya 2.7 kama haitoshi utatakiwa kusoma postgraduate diploma na ufaulu vizuri ili uweze kuwa na sifa stahiki. ONYO: Postgraduate diploma au certificate siyo sawa na masters!Habari wanaJF.
Kama kichwa kinavyosema, huwa naona ukitaka kwenda masters au postgraduate diploma ni lazima uwe na degree? ukiangalia qualification za kujiunga zinafanana, ukiangalia namna ya usomaji chuoni kunafanana, ukiangalia kwenye prospectus vyuoni ni vitu ambavyo ni vinafanana kila kitu. Sasa naomba kujua utofauti wake ni upi mpaka moja iwe masters na nyingine iwe postgraduate diploma?
Asante, na nashukuru kwa onyo kali.mimi siyo mtaalamu sana ila nina kidogo cha kuchangia, 1. postgraduate diploma inatumika kubadili fani,: mfano umesoma Bsc chemistry unataka uwe mwalimu itabidi usome postgraduate diploma ili uweze kuwa mwalimu 2. sifa za kujiunga na masters kwa hapa nchini ni GPA ya 2.7 kama haitoshi utatakiwa kusoma postgraduate diploma na ufaulu vizuri ili uweze kuwa na sifa stahiki. ONYO: Postgraduate diploma au certificate siyo sawa na masters!
Mada iishie hapa.mimi siyo mtaalamu sana ila nina kidogo cha kuchangia, 1. postgraduate diploma inatumika kubadili fani,: mfano umesoma Bsc chemistry unataka uwe mwalimu itabidi usome postgraduate diploma ili uweze kuwa mwalimu 2. sifa za kujiunga na masters kwa hapa nchini ni GPA ya 2.7 kama haitoshi utatakiwa kusoma postgraduate diploma na ufaulu vizuri ili uweze kuwa na sifa stahiki. ONYO: Postgraduate diploma au certificate siyo sawa na masters!
Umemaliza mkuuMimi siyo mtaalamu sana ila nina kidogo cha kuchangia, 1. postgraduate diploma inatumika kubadili fani,: mfano umesoma Bsc chemistry unataka uwe mwalimu itabidi usome postgraduate diploma ili uweze kuwa mwalimu 2. sifa za kujiunga na masters kwa hapa nchini ni GPA ya 2.7 kama haitoshi utatakiwa kusoma postgraduate diploma na ufaulu vizuri ili uweze kuwa na sifa stahiki. ONYO: Postgraduate diploma au certificate siyo sawa na masters!