Kuna tofauti gani kati ya .tz na .co.tz domain?

.tz ni second level domain(very specific na inamuonekano na kuaminika alafu fupi)

.co.tz ni third level domain(hii categorised)
Ya makampuni au biashara.

Ila kama unataka kwaajili ya biashara rasmi inayovuta watu kirahisi na kuaminika tumia .tz
Hiyo laki utaona si pesa. Hata utaperi utafanya na hyo.
 
Zote hizo ni domain zimesajiriwa Tanzania. Ukiona domain inaishia .tz ujue iko chini TCRA - TZNIC.

Pata uelewa kidogo juu ya utambulisho wa domain na maana zake

xyz.or.tz ni mashirika yasiyo ya kiserikali yaliyosajiriwa Tanzania
xyz.co.tz ni makampuni yaliyosajiriwa Tz
xyz.go.tz ni taasisi ya serikali
xyz.ac.tz ni taasisi za elimu

Then domain ikiwa imesajiriwa global inafanana hivi

xyz.org Non profit entity
xyz.com profit entinty nk nk nk

Sasa kwenye ghrama hapo ni kila host na gharama zake pamoja na ubora anaotoa.
 
jibu swali la muuliza swali usianze kutoa historia hapa
 
jibu swali lake ili la msingi, Je kuna faida gani ya kutumia .tz domain badala ya .co.tz?
Hakuna domain ambayo ni xyz.tz. Isipikuwa kuna domain ya xyz.domain.tz
Na kuna domain ya xyz.com, sasa pengine niashumu swari la msingi ni tofauti kati ya domain ya xyz.com na xyz.domain.tz.

Kwa mujibu wa sheria zilizopitishwa enzi za mwendazake domain zote za Tanzania zinatakiwa kusajiriwa hapa tanzania, yaani taasis, makampuni, mashirika nk nk nk yaliyo Tanzania yanatakiwa yasajiriwe kwa xyz.domain.tz na siyo xyz.com

Utofauti ni hivi, xyz.domain.tz TCRA anaaccess nayo na anatapa centi fulani kwa kila unaporenue. Domain ya xyz.com TRCA hana access nayo na hapata chochote kile kutoka kwenyw hiyo domain.

Hivyo ni rahisi mawasiliano ambayo ni ya xyz.domain.tz kuwa monitored na TCRA

Asante
 
ASante kwa ufafanuzi
 
Mfano domain iwe xyz.tz na xyz.co.tz

.tz gharama ni 100,000 kwa mwaka na .co.tz ni 25,000!

Je kuna faida gani ya kutumia .tz domain badala ya .co.tz?

Nataka sajili domain naomba mawazo..
Hakuna tofauti kwako kama mtumiaji, ila wameaona kuwa ya .tz itapendwa zaidi kuliko .co.tz so wanauza kwa bei ya gharama zaidi ni "premium".

Kabla ya 2022 hii ya .tz ilikuwa hauwezi kununua so ni kama wametengeneza soko jipya.

Kama hakuna sababu kubwa ya kuwa na .tz tafuta .com tu. .tz kuna chance kubwa zaidi itabidi udeal na serikali yetu.
 
Pia jihadhari kidogo nadhani (Hakiki na registrar wako) TCRA inaruhusu watu tofauti kumiliko .tz na .co.tz so unaweza kununua ya .tz mwenzako akanunua .co.tz kitu ambacho kinaweza kuchanganya watu.
 
Hakuna tofauti kwako kama mtumiaji, ila wameaona kuwa ya .tz itapendwa zaidi kuliko .co.tz so wanauza kwa bei ya gharama zaidi ni "premium".

Kabla ya 2022 hii ya .tz ilikuwa hauwezi kununua so ni kama wametengeneza soko jipya.

Kama hakuna sababu kubwa ya kuwa na .tz tafuta .com tu. .tz kuna chance kubwa zaidi itabidi udeal na serikali yetu.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom