Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
jibu swali la muuliza swali usianze kutoa historia hapaZote hizo ni domain zimesajiriwa Tanzania. Ukiona domain inaishia .tz ujue iko chini TCRA - TZNIC.
Pata uelewa kidogo juu ya utambulisho wa domain na maana zake
xyz.or.tz ni mashirika yasiyo ya kiserikali yaliyosajiriwa Tanzania
xyz.co.tz ni makampuni yaliyosajiriwa Tz
xyz.go.tz ni taasisi ya serikali
xyz.ac.tz ni taasisi za elimu
Then domain ikiwa imesajiriwa global inafanana hivi
xyz.org Non profit entity
xyz.com profit entinty nk nk nk
Sasa kwenye ghrama hapo ni kila host na gharama zake pamoja na ubora anaotoa.
Ukisoma na kuelewa utaona nimemfafanulia maana ya .tz, pengine na wew unaswari lako uliza ntakuelekeza kadli nijuavyo.jibu swali la muuliza swali usianze kutoa historia hapa
jibu swali lake ili la msingi, Je kuna faida gani ya kutumia .tz domain badala ya .co.tz?Ukisoma na kuelewa utaona nimemfafanulia maana ya .tz, pengine na wew unaswari lako uliza ntakuelekeza kadli nijuavyo.
Asante
Hakuna domain ambayo ni xyz.tz. Isipikuwa kuna domain ya xyz.domain.tzjibu swali lake ili la msingi, Je kuna faida gani ya kutumia .tz domain badala ya .co.tz?
ASante kwa ufafanuziHakuna domain ambayo ni xyz.tz. Isipikuwa kuna domain ya xyz.domain.tz
Na kuna domain ya xyz.com, sasa pengine niashumu swari la msingi ni tofauti kati ya domain ya xyz.com na xyz.domain.tz.
Kwa mujibu wa sheria zilizopitishwa enzi za mwendazake domain zote za Tanzania zinatakiwa kusajiriwa hapa tanzania, yaani taasis, makampuni, mashirika nk nk nk yaliyo Tanzania yanatakiwa yasajiriwe kwa xyz.domain.tz na siyo xyz.com
Utofauti ni hivi, xyz.domain.tz TCRA anaaccess nayo na anatapa centi fulani kwa kila unaporenue. Domain ya xyz.com TRCA hana access nayo na hapata chochote kile kutoka kwenyw hiyo domain.
Hivyo ni rahisi mawasiliano ambayo ni ya xyz.domain.tz kuwa monitored na TCRA
Asante
Hakuna tofauti kwako kama mtumiaji, ila wameaona kuwa ya .tz itapendwa zaidi kuliko .co.tz so wanauza kwa bei ya gharama zaidi ni "premium".Mfano domain iwe xyz.tz na xyz.co.tz
.tz gharama ni 100,000 kwa mwaka na .co.tz ni 25,000!
Je kuna faida gani ya kutumia .tz domain badala ya .co.tz?
Nataka sajili domain naomba mawazo..
Asante mkuuHakuna tofauti kwako kama mtumiaji, ila wameaona kuwa ya .tz itapendwa zaidi kuliko .co.tz so wanauza kwa bei ya gharama zaidi ni "premium".
Kabla ya 2022 hii ya .tz ilikuwa hauwezi kununua so ni kama wametengeneza soko jipya.
Kama hakuna sababu kubwa ya kuwa na .tz tafuta .com tu. .tz kuna chance kubwa zaidi itabidi udeal na serikali yetu.
Sawa